babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,512
- 36,218
Kunyaland ndo wana masikini wengi ukanda huu kulingana na KNBS sasa wapinge data za serikali yao ๐๐๐Ila hatuishi kwenye nyumba za mabati
Wewe jamaa ni taahira. Unatetea maintream media, then dakika sifuri unasahau hata ulichokiwa unateyea.
Empty talks indeedHoja huna buana empty talks tuuu
Where has that article said that Kenya leads in the region in poverty rates?Kunyaland ndo wana masikini wengi ukanda huu kulingana na KNBS sasa wapinge data za serikali yao ๐๐๐
View attachment 3333532
Tangu lini nyani akaona kundule?
View: https://x.com/AfricaStoryLive/status/1303742232428773378?t=RzjQuAal2hdxyCikmWwGzQ&s=19
Unataka kujua ni wapi watu wako na stima kwa slums? Ona sasaAfadhali aliye na nyumba yatope anaishi kwa kukinafasi na umeme anao je hapo kwa slum wanaishije
Start by telling them that they lied about your country's promotion from the list of LDCsWe will tell the Imperialists and their supporters until they abandon their foolishness.
My fool brother huu uzi upo kwaajili ya kujadili kuhusu maendeleo za miji za kenya vs Tz, especialy Nairobi vs Dar, kama tittle inavyojieleza hapo juu. and of course maendeleo ni vitu vinavyoonekana kwa macho, ikiwa ni barabara, reli, umeme, nyumba, huduma za maji, huduma za afya, michezo, burudani n.k. Hivi vitu vyote huwezi kuvielezea humu kwa maneno matupu.. wonderful enough wewe unajiona ni mwenye akili kwa kuleta maneno matupu humu. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ kweli wewe ni kilaza.. tena unathubutu kujiona smart kwa kutuelezea vitu vyenye kuvithibitisha huwezi.. kweli wewe ni mbuda.Uzi uli change gear watu wakaanza kujadili serious stuff, wewe hutoshi, wachache wenu pekee ndio wako na uwezo, nyie mlio wengi chezea clips na picha mtakua salama., sio dhambi, jikubali mlivyo na mjivunie, hamtapigwa wala kushikwa humu, hehehe ..,
View attachment 3333525
Heb ngoja nikutolee uvivu we kitobo. Enhee unasema kumbe.?Unataka kujua ni wapi watu wako na stima kwa slums? Ona sasaView attachment 3333536
Who told you those are industrial areas!?And how did the authorities allow people to live in an industrial zone?
Kiazi wewe hayo maeneo hayakuwa maeneo ya viwanda bali yalikuwa maeneo ya jirani na viwanda serikali ikaonelea kote kuwe eneo la kiwanda na wawekezaji tofauti tofauti wakaanza kununua wa ndani na nje.Get my point, how did people buy an industrial land to put up houses? If you can't answer this question kaa pembeni
A very small percentage of Kenyans live in slums and yes, we have at some point demonstrated against unfair land ownership. Hapo kwenu hata wengi wenu hamna habari mmeibiwa. Mnaamini nchi yenu nyeupe kama pamba hamna corruption. Hata hamjiulizi mbona mna resources mara nne ya Kenya na bado kiuchumi mpo nyuma ya Kenya yet Wakenya wanalalamika kuhusu corruption wakati nyie mmeaminishwa politicians wenu weupe kama pamba. 90% ya mabango hapo kwenu ni kusifia wanasiasa. Mpo mpo tu. Badala ya kupiga yowe msafishe nchi yenu mnahangaika na Wakenya wanavyojaribu kusafisha nchi yao. Dar 70% ni slum ila mnaaminishwa hamna slum. Wachache wenu wenye Wana courage ya kukashifu ufisadi wanapotea with no trace. Nchi maskini imeaminishwa ni nchi ya milk and honey.๐ฎ๐ฎ๐ฎKama kweli mngekuwa na democracy mngeandamana kushurutisha familia za Moi na kenyatta warudishe ardhi walizowaibia, badala ya kurundikana kwenye slums kama matenga ya nyanya mkipiga domo eti mna democrasia.
Eti. Utawapata wanashare lane yenye pothole Kilimani ambayo after a few months ya Wakenya kupiga kelele itarekebishwa wakati Kuna Barabara kwa affluent estates zao hazijawaai ona lami. Sewage Kila mahali.So that's one of the affluent estates in Dar? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
We have already told the white fans from Kenya ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃStart by telling them that they lied about your country's promotion from the list of LDCs
Ni uchumi upi unaodai tupo nyuma ya kenya.? Au kuna uchumi unazunguka akili mwako.?A very small percentage of Kenyans live in slums and yes, we have at some point demonstrated against unfair land ownership. Hapo kwenu hata wengi wenu hamna habari mmeibiwa. Mnaamini nchi yenu nyeupe kama pamba hamna corruption. Hata hamjiulizi mbona mna resources mara nne ya Kenya na bado kiuchumi mpo nyuma ya Kenya yet Wakenya wanalalamika kuhusu corruption wakati nyie mmeaminishwa politicians wenu weupe kama pamba. 90% ya mabango hapo kwenu ni kusifia wanasiasa. Mpo mpo tu. Badala ya kupiga yowe msafishe nchi yenu mnahangaika na Wakenya wanavyojaribu kusafisha nchi yao. Dar 70% ni slum ila mnaaminishwa hamna slum. Wachache wenu wenye Wana courage ya kukashifu ufisadi wanapotea with no trace. Nchi maskini imeaminishwa ni nchi ya milk and honey.๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Kumbe kijamaa kilifikia uswahilini. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ubatuelezea habari za mikocheni kumbe ulifikia uswahilini.Hizi picha nilizipiga Mikocheni. Mtaa wao wa Kifahari. Hello instanbul msee wangu wa horizontal infrastructure.๐
View attachment 3333298View attachment 3333300
Cc. gameover
Uongoman activated.A very small percentage of Kenyans live in slums and yes, we have at some point demonstrated against unfair land ownership.
Hakuna MTz anayesema nchi yetu ni nyeupe.Hapo kwenu hata wengi wenu hamna habari mmeibiwa. Mnaamini nchi yenu nyeupe kama pamba hamna corruption.
Wakenya wengi mna upumbavu, huu eti hamna raslimali.Hata hamjiulizi mbona mna resources mara nne ya Kenya na bado kiuchumi mpo nyuma ya Kenya yet Wakenya wanalalamika kuhusu corruption wakati nyie mmeaminishwa politicians wenu weupe kama pamba.
Isauw ya mabango hata sisi hatupendi, na wala hatujawaambia mtusaidie90% ya mabango hapo kwenu ni kusifia wanasiasa. Mpo mpo tu.
Unataka tujeBadala ya kupiga yowe msafishe nchi yenu mnahangaika na Wakenya wanavyojaribu kusafisha nchi yao. Dar 70% ni slum ila mnaaminishwa hamna slum. Wachache wenu wenye Wana courage ya kukashifu ufisadi wanapotea with no trace. Nchi maskini imeaminishwa ni nchi ya milk and honey.๐ฎ๐ฎ๐ฎ
With in karen 80% of the roads hata lami hazijawahi skia. Unakosoa micheni.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHizi picha nilizipiga Mikocheni. Mtaa wao wa Kifahari. Hello instanbul msee wangu wa horizontal infrastructure.๐
View attachment 3333298View attachment 3333300
Cc. gameover