Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

RIght from Safaricom Website.
96% of shareholders are locals. Leo utajificha wapi? 🤣🤣 Nakunyorosha kama paka ndani ya gunia.

View attachment 3330204
Kumbe kiingereza kigumu hapo wameanisha kwa investors wasiozidi hisa 10,000 majority ni wakenya ila bado inabaki palepale kuwa 40% au kwa zile hisa za zaid ya 10,000 nyingi ni wageni🤣🤣🤣🤣🤣 na hiyo yote inadondokea kwenye free float ya25%🤣🤣🤣🤣
 
RIght from Safaricom Website.
96% of shareholders are locals. Leo utajificha wapi? 🤣🤣 Nakunyorosha kama paka ndani ya gunia.

View attachment 3330204
Haya kuja huku uone Tanzania mali zinamilikiwa na watanzania leta bank yote Kenya yenye ownership ya 100% na wakenya

Azania Bank stock ownership
RankName of ownerPercentage ownership
1National Social Security Fund - Tanzania (NSSF)28.04
2Public Service Social Security Fund (PSSSF)51.32
3National Health Insurance Fund (NHIF)17.97
4Workers Compensation Fund (WCF)1.78
5East African Development Bank (EADB)0.50
6Minority Shareholders, Including Azania Bank Staff0.39
Total100.0
 
Kumbe kiingereza kigumu hapo wameanisha kwa investors wasiozidi hisa 10,000 majority ni wakenya ila bado inabaki palepale kuwa 40% au kwa zile hisa za zaid ya 10,000 nyingi ni wageni🤣🤣🤣🤣🤣 na hiyo yote inadondokea kwenye free float ya25%🤣🤣🤣🤣
Wewe ndio huelewi kiingereza. Here is a clear table of the shareholders volume. Sasa unapinga that locals with less than 10k shares sio wengi. Kwani hukufunzwa hesabu shule. 🤣🤣🤣

1746893128394.jpg
 
So, Wikipedia ndiyo source yako? Kweli mmeishiwa, ila nafurahi kwamba now mmeanza kuiogopa NMB.
Hujui how Wikipedia works. Wewe zoea kubeba rungu. This is data from NMB website.

Hujui how Wikipedia works. Wewe zoea kubeba rungu. This is data from NMB website.

Kwahiyo kwa kuweka hapa hiyo link inayoeleza ukweli kwamba NMB ni bank ya kitanzania ndiyo unadhani watu hawatofungua au siyo fala wewe, onesha iko wapi Zimbabwe hapo.
 
Haya kuja huku uone Tanzania mali zinamilikiwa na watanzania leta bank yote Kenya yenye ownership ya 100% na wakenya

Azania Bank stock ownership
RankName of ownerPercentage ownership
1National Social Security Fund - Tanzania (NSSF)28.04
2Public Service Social Security Fund (PSSSF)51.32
3National Health Insurance Fund (NHIF)17.97
4Workers Compensation Fund (WCF)1.78
5East African Development Bank (EADB)0.50
6Minority Shareholders, Including Azania Bank Staff0.39
Total100.0
Bank ndogo sana hii. 🤣🤣🤣
Na East African Development Bank is owned by EAC countries, so it's not 100% 🤣🤣

images (26).jpeg
 
Wewe ndio huelewi kiingereza. Here is a clear table of the shareholders volume. Sasa unapinga that locals with less than 10k shares sio wengi. Kwani hukufunzwa hesabu shule. 🤣🤣🤣

View attachment 3330215
Kumbe hata elimu huna kumbe .
Iko hivi Kuna makampuni au individual 11 tu wanaomiliki hisa za zaidi 100,000,000
Individual au kampuni zinamiliki hisa za kuanzia10-100mil
Sasa nyinyi mnadondokea kwenye Lile daraja la maskini la hisa chini ya 10,000 ambapo ndo mmejazana huko maskini .
Kwenye hiyo category mtanzania mmoja mwenye shares hapo safaricom Yuko kwenye category ya between 10-100mil shares
Wingi wa watu sio kuwa ndo wingi wa mtaji ndio ni wakenya wengi karibia 200,000 lakini Kuna wakununua hisa Moja wengine kumi ndo hapo mmejazana wakenya🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bank ndogo sana hii. 🤣🤣🤣
Na East African Development Bank is owned by EAC countries, so it's not 100% 🤣🤣

View attachment 3330222
PBZ is 100% owned by the Government of Zanzibar. The primary function of the Bank is to carry on the business of commercial banking in all its branches and Departments. PBZ has a branch and service centres network of twenty-eight branches in Zanzibar and Tanzania Mainland as at September 2022.
 
Bank ndogo sana hii. 🤣🤣🤣
Na East African Development Bank is owned by EAC countries, so it's not 100% 🤣🤣

View attachment 3330222
Kwahiyo umekubali kuwa mali nyingi za Kenya zinamilikiwa na wageni wakiwemo watanzania .
Mfano tu shareholders wa safaricom wenye share 10,000 and below ndo mmejazana ila watanzania wamo kwenye shareholders above 10mil🤣🤣🤣🤣
 
Kumbe hata elimu huna kumbe .
Iko hivi Kuna makampuni au individual 11 tu wanaomiliki hisa za zaidi 100,000,000
Individual au kampuni zinamiliki hisa za kuanzia10-100mil
Sasa nyinyi mnadondokea kwenye Lile daraja la maskini la hisa chini ya 10,000 ambapo ndo mmejazana huko maskini .
Kwenye hiyo category mtanzania mmoja mwenye shares hapo safaricom Yuko kwenye category ya between 10-100mil shares
Wingi wa watu sio kuwa ndo wingi wa mtaji ndio ni wakenya wengi karibia 200,000 lakini Kuna wakununua hisa Moja wengine kumi ndo hapo mmejazana wakenya🤣🤣🤣🤣🤣

Naona hata hesabu ilikushinda no wonder hujafactor in the share volume. For example hata uki chukua the 2nd band na upatie kila mtu the least shares ambayo ni 1000, multiply. It with 176,142 unapata 176,142,000 which is almost equivalent to two individuals in the highest band, and that's the worst case scenario for a single band. Elimu ya bongoslum hua haiwafunzi kufikiria critically. Alafu mchana we already confirmed the top individual shareholders at Safaricom ni wakenya. 🤣 🤣
1746893128394.jpg
 
PBZ is 100% owned by the Government of Zanzibar. The primary function of the Bank is to carry on the business of commercial banking in all its branches and Departments. PBZ has a branch and service centres network of twenty-eight branches in Zanzibar and Tanzania Mainland as at September 2022.

Yet another small bank. 🤣🤣 Hio hata inaweza nunuliwa na Coop bank na wasiende hasara.
images (26).jpeg
 
Naona hata hesabu ilikushinda no wonder hujafactor in the share volume. For example hata uki hukua the 2nd band na upatie kila mtu the least shares ambayo ni 1000, multiply. It with 176,142 unapata 176,142,000 which is almost equivalent to two individuals in the highest band, and that's the worst case scenario for a single band. Elimu ya bongoslum hua haiwafunzi kufikiria critically. Alafu mchana we already confirmed the top individual shareholders at Safaricom ni wakenya. 🤣 🤣
View attachment 3330237
Nadhani neno at maximum of 10,000 hulielewi 🤣 tunamaanisha kuanzia 10,001 huko wakenya no wachache kwa sababu hamna hela. Uwezo wenu ni kununua shares mbilimbili tu ila kuanzia shares 100,000mil and above hakuna wakenya huko . Wingi wa watu sio sio wingi wamitaji na ndo maana umeambiwa 40 % ya hisa zote ni za Vodafone kwahiyo ukichukua hiyo total value ya hao investor wa Kenya hawafikii hata 20% ya hisa za vodafone
 
Nadhani a maximum of 10,000 hulielewi 🤣 tunamaanisha kuanzia 10,001 huko wakenya no wachache kwa sababu hamna hela. Uwezo wenu ni kununua shares mbilimbili tu ila kuanzia shares 100,000mil and above hakuna wakenya huko . Wingi wa watu sio sio wingi wamitaji na ndo maana umeambiwa 40 % ya hisa zote ni za Vodafone kwahiyo ukichukua hiyo total value ya hao investor wa Kenya hawafikii hata 20% ya hisa za vodafone
Sasa hio hesabu nimekufanyia na the minimum of 1000 shares Kwa hio 2nd band to get the worst case scenario. Na ningepiga hesabu na the median of 5k shares je?
 
Back
Top Bottom