Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kawaida battle ni Kibera vs Dar is a slum. Nairobi Metro hamuwezani nayo.
Kuna slums zaid ya 200 Nairobi , hapo ni dandora na korogocho na sababu umeleta nyumba ambayo Iko kwenye unplanned settlement NAMI nimekuletea ya kutoka kwenye slums. Ukitaka twende za kwenye middle income earners ambazo mpak🤣🤣🤣🤣a sasa hujaleta hata moja
Inshort mpaka sasa unarukaruka tu kama mkono wa punda
 
Kenya hatuhesabu informal employment kama employment, hio ni yenu nyinyi wa informal economy. The fact that we have a bigger tax base confirms nchi gani ikona watu wengi kwa formal employment.
Formal employment in easy way unaangalia how wealthy social security funds zilivo, mna social security fund ipi ya maana Kunyaland kwanza mnajua hata nini ni social security fund? 😁😁😁
 
Hii ndio ushamba munaambiwa muwache, sio lazima cloakroom ikue nje, lakini sasa ona vile una fikira za kishamba na kimaskini.
Haha ndo maana umeambiwa nyinyi ni washamba huwez jua maana ya emergency na ukiambiwa nje sio kwamba Iko nje ya fence🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo wafanyakazi wanaoishi nje ya main houses usiku inabid waje wawagongee wakitaka kunya🤣🤣🤣🤣
 
Haha ndo maana umeambiwa nyinyi ni washamba huwez jua maana ya emergency na ukiambiwa nje sio kwamba Iko nje ya fence🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo wafanyakazi wanaoishi nje ya main houses usiku inabid waje wawagongee wakitaka kunya🤣🤣🤣🤣
SQ hua self contained, Sasa ona vile una expose ushamba wako.
 
SQ hua self contained, Sasa ona vile una expose ushamba wako.
Mwenzako juzi kaja hapa anajitapia kuwa kanunua bia kwa supermarket kwa 2800 Tena Serengeti lite akiwa anajiona mjanja , wabongo tukawa tunamcheka tu na ushamba wake maana alikutana na dada wa kichaga akawa anampurusa tu.
Wewe dada wa woodland supermarket Moshi tunakupa maua yako🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ghorofa ya NHC pale downtown Dar is a slum. 🤣🤣

20250507_160631.jpg
 
Back
Top Bottom