Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mbona una hasira.? 🤣🤣🤣🤣 kwahiyo Mbweni JKT si rich neighborhood.? Haya ni nini .? Heb tueleze.
Kwa mara ya kwanza leo imetenganishwa ikakua Mbweni JKT na sio Mbweni yote. 🤣🤣🤣 Sasa hio estate moja ndogo ndio hua munatupigia kelele hapa.
 
Kwa mara ya kwanza leo imetenganishwa ikakua Mbweni JKT na sio Mbweni yote. 🤣🤣🤣 Sasa hio estate moja ndogo ndio hua munatupigia kelele hapa.
Mbweni ni ndogo kuanzia lini wewe mbuzi.? Mbona bado unazo hasira.? 🤣🤣🤣
 
Kumbe kakosa green card Ndio mana ana hasira sana… 🤣🤣🤣.
Huoni analazimisha Mbweni ya Unguja kuwa Mbweni JKT ya Dar! 😂😂😂

IMG_3560.jpeg
 
For processing kisha tuwarudishie kama finished goods.
Madhara ya GOVI

1. Maambukizi ya mara kwa mara (UTIs)


  • Govi linaweza kuhifadhi uchafu, bakteria na smegma (ute mweupe), hali inayoongeza hatari ya kupata maambukizi kwenye njia ya mkojo.

2. Kuvimba kwa govi (Balanitis)


  • Hii ni hali ya kuvimba kwa kichwa cha uume na govi, husababishwa na usafi duni au maambukizi ya fangasi/bakteria.

3. Maambukizi ya zinaa (STIs)


  • Utafiti unaonyesha kwamba kutokutahiriwa kunaweza kuongeza hatari ya kuambukizwa virusi vya UKIMWI (HIV), HPV, na herpes, hasa kama hakuna matumizi ya kondomu.

4. Phimosis


  • Hii ni hali ambapo govi linakuwa gumu kurudishwa nyuma kutoka juu ya kichwa cha uume, na inaweza kusababisha maumivu wakati wa kukojoa au kujamiiana.

5. Hatari ya saratani ya uume


  • Ingawa ni nadra, kutokutahiriwa kunahusishwa na hatari kubwa zaidi ya kupata saratani ya uume, hasa kwa wale wasioweka usafi wa kutosha.
 
Back
Top Bottom