Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Magomeni ni jirani Kariakoo na kuna kaa hivi, sasa kujisifu mnajisifu na nini!?View attachment 3325387
Kunyan akili hamna,unaiponda magomeni!naikundu cbd to kibera ni km ngapi 😃
Magomeni ni jirani Kariakoo na kuna kaa hivi, sasa kujisifu mnajisifu na nini!?View attachment 3325387
Tena itakuwa kakutana na massawe Woodland bar😂😂😂mkuu Serengeti lite ndogo ni 1500 Tz sh, baketi moja ya bia 7 ni 10,000/= ukiinywa kwenye bar kali kidogo ni 2,000 baketi ya bia 6 ni elfu 10,000/= Tz money. Huyo aliibiwa au kahadithiwa tu. 🤣🤣🤣
Nairobi ni hii hapaNairobi City
View attachment 3325406
Kapigwa na kitu kizito sanaTena itakuwa kakutana na massawe Woodland bar😂😂😂
Nairobi Ina slums 110View attachment 3325410
Kunyan akili hamna,unaiponda magomeni!naikundu cbd to kibera ni km ngapi 😃
hapa si ndani ya CBD kabisa 😁View attachment 3325410
Kunyan akili hamna,unaiponda magomeni!naikundu cbd to kibera ni km ngapi 😃
Kumiliki kampuni US siyo kitu cha ajabu, ndani ya wiki mbili tuu, unachukua namba ya kodi ya biashara (EIN). Unasajili kampuni kwenye state unayotaka, basi. Tatizo kwenye biashara yoyote siyo umiliki, ni cashflowHuyu mwehu of kibera ndo alisema anamiliki makapuni USA?😂😂😂😂😂
Sisi hatukatai kuwa umenunua supermarket ila tungependa tujue jina la supermarket uliyokwenda kununua tu tujidhihirishe inawezekana wengine tumepitwa 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Hata risiti ya FD hana
Seriously how could these people live in such conditions?🙄
kunyan uwezo wao wa kufikiri ni mdogo mno,ile mislum iliowazunguka lakini bado utawasikia wanaponda baadhi ya maeneo ya dar 😃hapa si ndani ya CBD kabisa 😁
Daah hapa atakuwa alipigwa na dada wa kipare tu🤣🤣🤣. Yaan kama alinunua bia sita tu, dada alikusanya 4800 ya fasta bado akampiga Tena kwenye kupokea pesa ya Kenya daah, si ajabu dada wa watu akawa alimpiga zaid ya 50,000 na mikonyezo kama yote, yeye akajua kapendwaHata risiti ya FD hana
Yaan hapa wale mateja wa buza watagoma tu kuishi hapaSeriously how could these people live in such conditions?🙄
Siku sio nyingi kitawaka 😂😂👇👇
View: https://x.com/Kenyans/status/1919353821114863725?t=xRAy6oU_zi0sKWn4aQSZ3w&s=19
Na walisema wameanzisha GMO za mahindi,mara wanatumia Zambia sijui Brazil yaani ni kituko 😂😂Karne hii kila Siku Unga😂 Si bora hata wangekua wanaongelea ule Unga mwingine.
Mwaka huu kwanza tuwaonea watakavyohangaika maana chakula kinatutosha sisi tuKarne hii kila Siku Unga😂 Si bora hata wangekua wanaongelea ule Unga mwingine.
Karne hii kila Siku Unga😂 Si bora hata wangekua wanaongelea ule Unga mwingine.