Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa Dar kila kona lami zimejaa. Hakuna kipya hapo.
Ndiyo Magomeni kukae hivi!?
Screenshot_2025-04-30-05-45-35-36_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kuna yule mjinga alikuwa anasema Bei ya bia Tz ni kama huko kwao failed state,
Hapa naangalia mechi ya JKT Vs Simba Mwailubi Pub Mbeya, retail price ya Castle lite ni 1,500 Tsh (75Ksh) with VAT included. Hatufanani.
View attachment 3325333
Dah mwenetu ushajipigia bottle 2 fasta. Ila wapumbavu walitukamia leo kwa maelekezo😁
 
Back
Top Bottom