Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafosi kunifananisha na nyani.? Haya jione wewe 🤣🤣🤣🤣👇🏾View attachment 3322612
Hapo ndipo wanapopatiwa na wanasiasa wao,ruto aliteleza kipindi na kusema TZ tupo mbele kiuchumi zaidi yao,kunyan walimtukana sana juzikati akachenji gear angani kwa kuisema vibaya TZ,kunyaland yote iliripuka kwa furaha 😃,hata yale majina mabaya awamuiti sasa hivi 😃
 
View: https://www.instagram.com/reel/DJLc44yMlNz/?igsh=d3VkcjJxazhxdnRl
Screenshot_20250503-004348.jpg

Screenshot_20250503-004423.jpg
 
Hapo ndipo wanapopatiwa na wanasiasa wao,ruto aliteleza kipindi na kusema TZ tupo mbele kiuchumi zaidi yao,kunyan walimtukana sana juzikati akachenji gear angani kwa kuisema vibaya TZ,kunyaland yote iliripuka kwa furaha 😃,hata yale majina mabaya awamuiti sasa hivi 😃
Umeoga leo wewe chokoraa?
 
Leo nimejua liquor store are not common in Dar is a slum. Munauziwa pombe Kwa kiosks alongside sukari na mafuta ya kupima. 🤣🤣🤣

Mbona hampendi modernity? Enyewe ujamaa inawaongezea tu umaskini badala iwasaidie. 🤣🤣

View attachment 3322899View attachment 3322900
Dar liquor stores zipo nyingi kuliko idadi ya nyumba, Kunyaland mnaonekana mmezijua juzi, FYI pombe ndio most tax-contributing-commodity in Tanzania so don't dare to rival with Tanzania wherever pombe mentioned

Screenshot_20250503-144304.jpg
Screenshot_20250503-144143.jpg
Screenshot_20250503-144118.jpg
Screenshot_20250503-144030.jpg
Screenshot_20250503-143932.jpg
 
Leo Umeamua kuwavua nguo😂🤣😂.

Hata ukihesabu tu floors from outside utapata 35 floors.
Kuna wakati akina Geza Ulole walikwamilia eti ni floors 44. Kila mara Ze only tower with over 40 floors in Isti Afirika. Hadi nikawatolea video ya architect mwenye alidesign (who is Kenyan btw) akisema ni 35 floors lakini wapi. Kelele ilipunguka tu vile GTC ilijengwa.😂
 
Kenyans' obbsession with high rise buildings.
Screenshot_20250503_150416_X.jpg
 
Back
Top Bottom