concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,276
- 14,299
Baadhi yenu wanatumia kujitawaza maana kwenye picha hakuna dalili ya maji . Tuoneshe flushing tanks kwenye vyoo hiviSi ulisema wanatumia sawdust kujitawadha, ebu tuonyeshe Kwa hio article umepiga screenshot kama wameeandika kitu kama hio. Desperation isifanye ukue muongo.