Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 30,973
- 33,221
Hata Pipeline yenye huwa wanatusi hapa haina huo upuzi.They live in glorified single rooms, choo na jikoni nje. 🤣🤣🤣 Hawa washamba hawajui modern living.
Hata Pipeline yenye huwa wanatusi hapa haina huo upuzi.They live in glorified single rooms, choo na jikoni nje. 🤣🤣🤣 Hawa washamba hawajui modern living.
Siku mambo ya Self Contained housed itafika Dar nakuambia hawa watu watafurahi sana. Kenya unapata Bedsitter iko na kila kitu ndani na hainuki.😂😂🤣They live in glorified single rooms, choo na jikoni nje. 🤣🤣🤣 Hawa washamba hawajui modern living.
Pipeline ni soft life compared to dar is a slum.Hata Pipeline yenye huwa wanatusi hapa haina huo upuzi.
Hizi ni ujinga huwezipata in Kenyan cities let alone Nairobi.
Ati watu bado wanashare meter ya maji na electricity😂😂😂, na choo na jikoni pia iko nje ya nyumba😂😂🤣
View: https://x.com/RadhiyaLaizer/status/1810382934572200338
Kwa Tanzania huwez Kuta watu wanatumia sawdust kujitawaza.Akona hasira sana, just because he lacks a modern toilet. 😄
Hakuna fiber internet available Kwa hizo amenities. 🤣🤣🤣 Bana hata Kibera sikuizi Kuna internet.
Kimbo according to these idiots is a slum. Look at this these houses are so cheap yet ukiangalia ndani is far much better than what’s in Dar.Hakuna fiber internet available Kwa hizo amenities. 🤣🤣🤣 Bana hata Kibera sikuizi Kuna internet.
Maskini hohehahe wa Kenya anaishi kama middle class wa bongoslum.
Eastleigh wanaishi maskini eti?Maskini hohehahe wa Kenya anaishi kama middle class wa bongoslum.
Yaan kama tajiri yenu anayeish Eastleigh anatumia sawdust kuchambia wewe je unayeishi kiambu utakuwa unatumia vijitiMaskini hohehahe wa Kenya anaishi kama middle class wa bongoslum.
Gdp kubwa mnachambia sawdust Tena kwenye mitaaa ambayo inaonekana wanakaaa wenye nazo kabisa . EastleighMaskini hohehahe wa Kenya anaishi kama middle class wa bongoslum.
Tajiri wa Eastleigh hawatumii latrines. Pole sana, au umewai kuona latrines Kwa ghorofa.Yaan kama tajiri yenu anayeish Eastleigh anatumia sawdust kuchambia wewe je unayeishi kiambu utakuwa unatumia vijiti
Mimi naendaga kwa evidence hapa ni wapi ?Tajiri wa Eastleigh hawatumii latrines. Pole sana, au umewai kuona latrines Kwa ghorofa.
Kule Dar nyumba inauzwa Ksh4.5M lakini choo iko nje😂🤣
View: https://x.com/nambayabeka/status/1639918774877933570
Pole sana, kumbe unajaribu kuforce a false narrative. 🤣🤣 Enyewe hio maneno ya choo inawauma.
HawGdp kubwa mnachambia sawdust Tena kwenye mitaaa ambayo inaonekana wanakaaa wenye nazo kabisa . Eastleigh
Bongolala, I can show you thousands of such images from Dar.
You said utaleta picha za Talanta imezingirwa na slums. Sasa hapo ni Talanta? Show us something like this from Talanta tuone View attachment 3321653