Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, I can show you thousands of such images from Dar.
You said utaleta picha za Talanta imezingirwa na slums. Sasa hapo ni Talanta? Show us something like this from Talanta tuone View attachment 3321653
downloadfile-13.jpg

Good editing mwanakibera,mkapa stadium imezungukwa na kambi ya jeshi upande wa south na west,upande wa north kuna chuo cha duce mashariki ofisi za serikali na mahakama,kaedit tena lipicha lako
 
We jamaa ni fala kweli
Ukiona dalali kaandika Choo cha nje ujue kuna Choo kingine nje na ukiona kaandika jiko la nje ujue ni provision hiyo kuna jiko la ziada nje na wengine wanaandika kuna servants quarter, ninyi mafala mnafikiri lifestyle ya Tanzania ni kama Kunyaland
Hakuna, Dar is slum choo na jikoni zote ziko nje. Mko stone aje bado, hata Kenyan villages has better houses than Dar houses.
 
HawView attachment 3321752a watu wanapika GDP.

Eti Bodaboda inachangia 4.4% ya GDP???
Kwani boda boda can’t contribute to that? Are you aware the number of boda bodas in Kenya? Are you aware boda boda is the backbone of online marketing in Kenya? Are you aware that boda boda is the backbone of fast food industry in Kenya?

Hapo imeandikwa there are 2.5M boda boda in Kenya contributing Ksh 660B in Kenya. Let’s assume each boda earns over 1,500 per day and usages 800 on fuel everyday. How much does that result’s in a year?
 
Hakuna, Dar is slum choo na jikoni zote ziko nje. Mko stone aje bado, hata Kenyan villages has better houses than Dar houses.
We govinda huoni hapo kaandika kabisa kuna chumba masta? Unajua maana ya chumba masta?
 
Ukiona nyumba ina jiko na choo nje hiyo ni provision maana yake ina viwili ila ninyi magovinda ni ngumu kuelewa
So wewe ndio unauza nyumba? Mbona hajasema kuna choo ingine ndani? Just accept that Tanzanians bado mko nyuma. By the way, kwako uko na toilet ama latrine?
Na unajua kuflush choo?
 
So wewe ndio unauza nyumba? Mbona hajasema kuna choo ingine ndani? Just accept that Tanzanians bado mko nyuma. By the way, kwako uko na toilet ama latrine? A
Na unajua kuflush choo?
We ni govinda usie na akili unadaka tu phrase huko online bila kujua maana yake unakuja kujiaibisha huku, Tanzania lifestyle yetu watu wengi wanapenda kuweka choo cha ziada nje kama kuna servants wanakaa nje na pia kwaajili ya visitors incase kuna function ndogo ndogo nyumbani sio wote mnatumia choo cha ndani, na dalali wanaelezea vizuri tu ila sababu kwenu ni kitu hakipo kabisa mnatafsiri according to your limited resources lifestyle

View: https://x.com/Ahman_09/status/1908817386632847709?t=pji7F2aBU3IgH_XFKm42sg&s=19

View: https://x.com/DalaliZanzibar/status/1910284397921652815?t=SVQWEC6j_ZJRkC3HVj1U0A&s=19

View: https://x.com/RadhiyaLaizer/status/1844451907521360245?t=45jsa5g1ZSYZPhg6citDgQ&s=19

View: https://x.com/luccado_/status/1681622401065312259?t=-sySEvmSI3PI9Z_cEDR96w&s=19

View: https://x.com/DalaliMoyodsm/status/1855141536515637613?t=eah6wMtOkGQyknb3ZYNS1w&s=19
 
Pole sana, kumbe unajaribu kuforce a false narrative. 🤣🤣 Enyewe hio maneno ya choo inawauma.

View attachment 3321749
Kwahiyo Kila mkijaza ndogo za kinyesi mnabeba kwenda kuweka shamban
How Sawdust Toilets Work:
1. Urine Diversion:
Sawdust toilets typically feature a system that separates urine from solid waste.
2. Solid Waste Collection:
Solid waste is collected in a container, such as a barrel, placed beneath the toilet seat.
3. Sawdust Application:
After each use, the waste is covered with a layer of sawdust to absorb liquids, control odors, and promote aerobic decomposition.
4. Composting:
Once the container is full, it's removed and the waste is allowed to compost for a period of time.
5. Resource Utilization:
The resulting compost can then be used as fertilizer.
 
We ni govinda usie na akili unadaka tu phrase huko online bila kujua maana yake unakuja kujiaibisha huku, Tanzania lifestyle yetu watu wengi wanapenda kuweka choo cha ziada nje kama kuna servants wanakaa nje na pia kwaajili ya visitors incase kuna function ndogo ndogo nyumbani sio wote mnatumia choo cha ndani, na dalali wanaelezea vizuri tu ila sababu kwenu ni kitu hakipo kabisa mnatafsiri according to your limited resources lifestyle

View: https://x.com/Ahman_09/status/1908817386632847709?t=pji7F2aBU3IgH_XFKm42sg&s=19

View: https://x.com/DalaliZanzibar/status/1910284397921652815?t=SVQWEC6j_ZJRkC3HVj1U0A&s=19

View: https://x.com/RadhiyaLaizer/status/1844451907521360245?t=45jsa5g1ZSYZPhg6citDgQ&s=19

View: https://x.com/luccado_/status/1681622401065312259?t=-sySEvmSI3PI9Z_cEDR96w&s=19

View: https://x.com/DalaliMoyodsm/status/1855141536515637613?t=eah6wMtOkGQyknb3ZYNS1w&s=19

These are among the few 2% of Dar houses. The remaining 98% choo zote ziko nje. Na hizo 2% with choo za ndani 99% are latrine.
 
Kwani boda boda can’t contribute to that? Are you aware the number of boda bodas in Kenya? Are you aware boda boda is the backbone of online marketing in Kenya? Are you aware that boda boda is the backbone of fast food industry in Kenya?

Hapo imeandikwa there are 2.5M boda boda in Kenya contributing Ksh 660B in Kenya. Let’s assume each boda earns over 1,500 per day and usages 800 on fuel everyday. How much does that result’s in a year?
So, mme-formalise bodaboda?

Trying to run away from reality, by making up MESS as a clearing up solution.

If its that formal wanalipaje income tax?

NSSF
Insurance

Kama mnahesabu Bodaboda, you people must be doing the same for:
  • Mama mboga
  • Mtu wa mkokoteni
  • Mtu wa mjengo
  • Mitumba
  • Matatu

Hizo zinachagia ngapi kwenye GDP?
 
Back
Top Bottom