Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • chrome_screenshot_Apr 30, 2025 5_36_54 PM GMT+03_00.png
    chrome_screenshot_Apr 30, 2025 5_36_54 PM GMT+03_00.png
    542.7 KB · Views: 6
Gharama za Safari, Safari Jeep, Hotels, Visa na Chakula na baadhi ya amenities ni kubwa.

Ukipandisha viingilio, utalii utakuwa gharama kubwa sana, watu watatafuta altenatives.

Ujue kuna altenatives kama Kenya, Naminia, South Africa.

Yale magari ya Safari (Safari Jeep, ni $250 per day)

Kiingilio, $60 (Non East African)

Hapo bado hotel na kama unataka kupanda Ballon.

Waongeze tuu maana izo mbuga zipo very congested mpaka haileti maana ya conservation tena,tagert yetu iwe high end pekee yake alafu mbuga za kusini ndio waweke bei za kawaida
 
Kenya malls ziko in all cities and almost all major towns. Hio Zambia unataja hata combined na malls zote in Tanzania haiwezi karibia Nairobi Metro Kwa malls.
Tanzania hawana kawaida ya kuiga vitu kutoka west na ndo maana tumeendelea kumantain culture yetu ya masoko na tuna masoko na stendi nzuri ambazo zinahudumia watu wa rika zote na nzuri kuliko zote east Africa. Tanzania Iko busy kwa maendeleo ya Kila mtu sio Kenya ambayo inataka kujiweka katika status ambayo haipo mwishowe inaambulia kutukanwa na mataifa mengine kama Vietnam .
Tuna masoko na stendi Bora kuliko Kenya nzima . Dhaman ya ujenzi wa stend Moja unazid dhaman ya masoko yote yaliyopo kenya
 
Back
Top Bottom