NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,008
- 19,180
Narudia, soma tena utaelewa.Haikuwa African leadership kwa sababu maoni yametolewa hasa baada ya mkutano wenu kujifanya mnaspeak big

Yet you have a score of 22 with good weather. You should really be ashamed of yourselves.Umaskini ila hatufi njaa ila nyinyi sasa
Kenya has a serious level of hunger, according to the 2024 Global Hunger Index (GHI). The GHI score for 2024 is 25.0, putting Kenya in the "serious" category. The GHI considers factors like stunting, wasting, and mortality rates among children under five.
Kumbe elimu yenu ni ya makaratasi umeambiwa kutoa evidence ya picha kupigwa amboseli unakimbikia English kwenye picha hakuna neno amboseli. NincompoopMimi Sina shida na Kiswahili ama lugha yoyote. Ukiniongelesha Kiswahili nakujibu, ukiniongelesha Kiingereza nakujibu. Ukiniongelesha lugha yangu ya mama nakujibu.
Shida ni pale ambapo unang'ang'ana kutoa arguments kutokana na articles zilizoandikwa na hiyo hiyo lugha unayoita ya watu alafu unakosea kwa interpretation. Kama unaona Kiingereza ni lugha ya watu heri uachane nacho kuliko Kila siku unajiaibisha humu na wrong interpretation.
Ilikuwa baada ya Kenyan visit, hiyo kauli isingetolewa kama msingekuwa na mkutano , pale kaongea kisiasa ili isionekane amewalenga wakenya ila ukweli meseji ni yenuNarudia, soma tena utaelewa.
2 in maize productioYet you have a score of 22 with good weather. You should really be ashamed of yourselves.
Wewe ndo nikurudishe ukasome uelewe difference ya kusema imepigwa amboseliNarudia, soma tena utaelewa.
What is your score?🤣🤣🤣🤣Yet you have a score of 22 with good weather. You should really be ashamed of yourselves.
That is a very different argument. Ndio maana nimekwambia uelewa wako wa kiingereza ni duni no wonder you are this confused.Ilikuwa baada ya Kenyan visit, hiyo kauli isingetolewa kama msingekuwa na mkutano , pale kaongea kisiasa ili isionekane amewalenga wakenya ila ukweli meseji ni yenu
Does not change anything 🤣 🤣 🤣 Ni utoto uliotukuka unawasumbua wakenya. Dawa yake tunaendelea kuichemshaThat is a very different argument. Ndio maana nimekwambia uelewa wako wa kiingereza ni duni no wonder you are this confused.
Kuhusu kilimanjaro, sidhani kama kuna mtu hapa ambaye analijua hilo eneo kunishinda. Utakuwa hujawai hata iona hiyo kilimanjaro in real life kuquestion kama hiyo picha imepigwa Kilimanjaro maanake angle zote za Mlima Kilimanjaro nazijua. Mimi hapo kilimanjaro nimepazunguka sana. Umezunguka zunguka ukibadilisha mijadala ila wacha nijitolee nikuelimishe kidogo.
Picha yenyewe hii.
![]()
La kwanza ukitazama picha, mawenzi ipo kushoto mwa picha. kwa hivo based on that, the photo was taken on the North side of the mountain.
La pili, ukiangalia eneo lenye picha imepigwa ni Savanna. Ukiwa Kaskazini mwa kilimajaro, Savanna inaanzia Kenya. Upande wa Bongo ni tropical forestkwa hivo picha haiwezi kuwa imepigwa upande wa Tanzania.
La tatu Kuna twiga imeonekana kwa picha. Mlima Kilimanjaro una mbuga mbili karibu. ya kwanza ni mbuga ya Kilimanjaro, hii mbuga haina twiga. Ya pili ni mbuga ya Amboseli. Hii mbuga ina twiga.
Haya maelezo nimeyatoa nikitumai unayaelewa ila nimebaini huu mlima haujawai uona kwa macho yako maanake mtu aliyeuona huu mlima na kuuzunguka hawezi uliza swali la kipuuzi kama hilo. Nikama upo picha ya hiyo mitungi yenu mitatu ya Dar alafu uskie mtu akikuuliza uprove kwamba hapo ni Dar. Utajua huyo mtu hajawai fika Dar na hata haijui hadi kwa picha. Mimi hilo eneo la Kilimanjaro nalijua kama vidole vyangu. Hii picha hapa niliipiga mwezi uliopita pale Oloitokitok upande wa Kenya. Wewe nionyeshe picha ya Kilimanjaro uliopiga mwenyewe ndio uwe na right ya kupingana nami.
View attachment 3320850
Just accept and move on. I really hope your great great grandchildren will enjoy a better life away from LDC status … psych!… 😄😄Usimsikilize mkundu kunuka atakuharibu uwe na chuki za kijinga kwa nchi inayokulisha👇👇View attachment 3320567
Govi boyJust accept and move on. I really hope your great great grandchildren will enjoy a better life away from LDC status … psych!… 😄😄
What is your score?🤣🤣🤣🤣
Hujaulizwa Mimi kupiga picha umeambiwa evidence hiyo picThat is a very different argument. Ndio maana nimekwambia uelewa wako wa kiingereza ni duni no wonder you are this confused.
Kuhusu kilimanjaro, sidhani kama kuna mtu hapa ambaye analijua hilo eneo kunishinda. Utakuwa hujawai hata iona hiyo kilimanjaro in real life kuquestion kama hiyo picha imepigwa Kilimanjaro maanake angle zote za Mlima Kilimanjaro nazijua. Mimi hapo kilimanjaro nimepazunguka sana. Umezunguka zunguka ukibadilisha mijadala ila wacha nijitolee nikuelimishe kidogo.
Picha yenyewe hii.
![]()
La kwanza ukitazama picha, mawenzi ipo kushoto mwa picha. kwa hivo based on that, the photo was taken on the North side of the mountain.
La pili, ukiangalia eneo lenye picha imepigwa ni Savanna. Ukiwa Kaskazini mwa kilimajaro, Savanna inaanzia Kenya. Upande wa Bongo ni tropical forestkwa hivo picha haiwezi kuwa imepigwa upande wa Tanzania.
La tatu Kuna twiga imeonekana kwa picha. Mlima Kilimanjaro una mbuga mbili karibu. ya kwanza ni mbuga ya Kilimanjaro, hii mbuga haina twiga. Ya pili ni mbuga ya Amboseli. Hii mbuga ina twiga.
Haya maelezo nimeyatoa nikitumai unayaelewa ila nimebaini huu mlima haujawai uona kwa macho yako maanake mtu aliyeuona huu mlima na kuuzunguka hawezi uliza swali la kipuuzi kama hilo. Nikama upost picha ya hiyo mitungi yenu mitatu ya Dar alafu uskie mtu akikuuliza uprove kwamba hapo ni Dar. Utajua huyo mtu hajawai fika Dar na hata haijui hadi kwa picha. Mimi hilo eneo la Kilimanjaro nalijua kama vidole vyangu. Hii picha hapa niliipiga mwezi uliopita pale Oloitokitok upande wa Kenya. Wewe nionyeshe picha ya Kilimanjaro uliopiga mwenyewe ndio uwe na right ya kupingana nami.
View attachment 3320850
Inaonekana hata hujui unachoongea umesema hakuna twiga upande wa Kilimanjaro national park ebu soma maelezo hayoThat is a very different argument. Ndio maana nimekwambia uelewa wako wa kiingereza ni duni no wonder you are this confused.
Kuhusu kilimanjaro, sidhani kama kuna mtu hapa ambaye analijua hilo eneo kunishinda. Utakuwa hujawai hata iona hiyo kilimanjaro in real life kuquestion kama hiyo picha imepigwa Kilimanjaro maanake angle zote za Mlima Kilimanjaro nazijua. Mimi hapo kilimanjaro nimepazunguka sana. Umezunguka zunguka ukibadilisha mijadala ila wacha nijitolee nikuelimishe kidogo.
Picha yenyewe hii.
![]()
La kwanza ukitazama picha, mawenzi ipo kushoto mwa picha. kwa hivo based on that, the photo was taken on the North side of the mountain.
La pili, ukiangalia eneo lenye picha imepigwa ni Savanna. Ukiwa Kaskazini mwa kilimajaro, Savanna inaanzia Kenya. Upande wa Bongo ni tropical forestkwa hivo picha haiwezi kuwa imepigwa upande wa Tanzania.
La tatu Kuna twiga imeonekana kwa picha. Mlima Kilimanjaro una mbuga mbili karibu. ya kwanza ni mbuga ya Kilimanjaro, hii mbuga haina twiga. Ya pili ni mbuga ya Amboseli. Hii mbuga ina twiga.
Haya maelezo nimeyatoa nikitumai unayaelewa ila nimebaini huu mlima haujawai uona kwa macho yako maanake mtu aliyeuona huu mlima na kuuzunguka hawezi uliza swali la kipuuzi kama hilo. Nikama upost picha ya hiyo mitungi yenu mitatu ya Dar alafu uskie mtu akikuuliza uprove kwamba hapo ni Dar. Utajua huyo mtu hajawai fika Dar na hata haijui hadi kwa picha. Mimi hilo eneo la Kilimanjaro nalijua kama vidole vyangu. Hii picha hapa niliipiga mwezi uliopita pale Oloitokitok upande wa Kenya. Wewe nionyeshe picha ya Kilimanjaro uliopiga mwenyewe ndio uwe na right ya kupingana nami.
View attachment 3320850
That is a very different argument. Ndio maana nimekwambia uelewa wako wa kiingereza ni duni no wonder you are this confused.

Okay bro. Hapo ni Meru. 🙏🏾🙏🏾👍🏾👍🏾Hujaulizwa Mimi kupiga picha umeambiwa evidence hiyo pic
Inaonekana hata hujui unachoongea umesema hakuna twiga upande wa Kilimanjaro national park ebu soma maelezo hayo
The Kilimanjaro giraffe, also known as the Masai giraffe, stands as the largest subspecies of giraffes and is recognized as the tallest land mammal on Earth.
The Masai giraffe is found in Tanzania’s Mount Kilimanjaro region, around Mount Meru in Arusha National Park, and other parks including the Serengeti National Park, Tarangire, and Lake Manyara. It is also found in central and southern Kenya, near Mount Kenya National Park, Masai Mara Game Reserve, Amboseli National Park bordering Kilimanjaro National Park and other areas. From the hooves to the top of its head, it has characteristic spots that resemble jagged, uneven leaves. Currently, Tanzania’s national animal is the Masai giraffe.
The Masai giraffe, known for its distinctive, jagged spots, roams across various regions of East Africa. It holds the title of being the largest and tallest of all giraffe species, making it the tallest terrestrial animal. Male Masai giraffes, or bulls, significantly outsize their female counterparts, weighing nearly 1,300 kg (2,900 lbs) and towering up to 5.5 meters (18 feet). In their natural habitat, they might live up to 30 years, with the potential for a longer lifespan in captivity.
Nikiwa meru napata picha kama hiyo sasa wewe zumbukuku unasema hakuna giraffes Kilimanjaro national park
Fala unajifanya upajui hapo while ndio maghetoni kwakoWewe bwege sasa hapo ni Talanta?