Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado mnakuanga hii stori ya 2023, alafu if an English broadcaster thinks that about Kenya, do you think they could have a different opinion about Tanzania? Most importantly, The King Apologized period! What effect does journalist’s opinion have?? Nyinyi watu mko so bitter.
Yap bado tupo 2023 maana mpaka sasa hamjawa na reliable bus stops wala brt miaka kumi toka tuanze kuoperate
 
Middle class Kenya anaishi kibera hata hapo eastleigh mnapojisifia wanakaa wasomali tu
Estates zenu za middle class si zinakaa hivi. 🤣 🤣 Hizi hata sio estates, hizi ni vijii by the way.

No photo description available.
 
Asante kwa kuconfirm tena maskini wa Kenya ni sawa na middle class wa bongoslum. 🤣 🤣 🤣
Haha kwahiyo umekubali kuwa maskini wa Tanzania anaishi vizuri kuliko middle class wa Kenya. Vizuri siku nyingine usiwe mbishi. Kama muuza mboga bongo anaweza Jenga nyumba ya tofali ila accounting officer Kenya anaishi kwenye nyumba ya mabati sasa ujiulizw accounting officer wa municipal Tanzania anaweza inunua mukulu yote
 
Soko na teknolojia gani bhana haya mambo ya kujidharau yashapitwa na wakati ni bora wangeingia ubia na kampuni za ndani kadhaa angalau tufike ata asilimia arubaini zinabaki hapa hapa lakini kwa 15 ni ndogo sanaa
serikali inapata slightly above 60% kwenye miradi ya madini in the form of 15% free carried shares, 30% corporate tax and other levies such as skills development and the rest also CSR.
 
Haha kwahiyo umekubali kuwa maskini wa Tanzania anaishi vizuri kuliko middle class wa Kenya. Vizuri siku nyingine usiwe mbishi
Maskini wa Kenya ni sawa na middle class wa bongoslum, si ushaconfirm. Middle class wa Kenya hawezi toboa in Dar is a slum kwenye hakuna banks and supermarkets ndani ya most estates.
 
serikali inapata slightly above 60% kwenye miradi ya madini in the form of 15% free carried shares, 30% corporate tax and other levies such as skills development and the rest also CSR.
Ukipiga hesabu ni mara % tusiweke hela zetu tuwasubirie kwenye gawio na kodi
 
Maskini wa Kenya ni sawa na middle class wa bongoslum, si ushaconfirm. Middle class wa Kenya hawezi toboa in Dar is a slum kwenye hakuna banks and supermarkets ndani ya most estates.
Wewe ndo umecomfirm kuwa middle class wenu anaishi kwenye slums sasa nani Yuko vizuri .muuza mboga wa Tanzania kwa kenya ni middle ila sio Tanzania .
 
Maskini wa Kenya ni sawa na middle class wa bongoslum, si ushaconfirm. Middle class wa Kenya hawezi toboa in Dar is a slum kwenye hakuna banks and supermarkets ndani ya most estates.
Slum dwellers Kenya hujaribu kujishowf kwenda kwenye super markets ili waonekane ila wanalala kwenye slums Tanzania hakuna mentality ya super markets sio ajabu ukamkuta Azam Yuko kariakoo anatungua nguo, pamoja ya kuwa ana maviwanda kuliko Kenya nzima
 
Wewe ndo umecomfirm kuwa middle class wenu anaishi kwenye slums sasa nani Yuko vizuri .muuza mboga wa Tanzania kwa kenya ni middle ila sio Tanzania .
Mama mboga wa bongoslum wanaweza toboa kuishi hapa? 🤣🤣🤣 Unaota mchana. Wewe tafuta slums upost, middles class ya Nairobi huwezani nayo.

Upcoming Residential Estates in Nairobi to Move to | Nellions Moving and  Relocations Company

Brighter side of Eastlands, Nairobi, Kenya
 
Back
Top Bottom