Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,171
- 33,333
Haya maneno mbona unajisema.? 🤣🤣🤣🤣 wakenya mkiona hata 2 meters Long pavements kando ya barabara mnajisifu kuwa ni maendeleo. Hata mkiona Calvert mnajinasibu nalo kuwa ni maendeleo. 🤣🤣
Imagine taifa kubwa kama North Korea 🇰🇵 ambalo lina majiji ambazo no city in Africa can compete them infrastructure wise, mnapinga kwamba hakuna maendeleo kwasababu mzungu Ndio alivyowaambia. 🤣🤣🤣🤣