concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Mamaye yaan bongo ni full bata tuu
Mamaye yaan bongo ni full bata tuu
Yaan Leo ni kula kuku kwenda mbeleHuko Kenya mnaendelea na taarifa zenu za kupika 🤣 🤣 🤣 🤣 Tuonesheni matukio yanayoendelea kwenu
View attachment 3320042
Kwamba hao ni kuku choma tu bado zile za usiku
Tangu SGR ianze watu 2.3M+ wamesafiri. By Kadogosa
Msikilize hapa
View: https://youtu.be/Yu4FayUofAo?si=GryFj2LGeBEmoCq-
Tanzanians are very easy to control, just show them a lipstick on a pig and then boom, “…Pig is the most beautiful animal in the farm…”Stop ignorance … Once you leave Pyongyang ni kama Tanzania….its all an optic game. They showcase the shiny objects under strict control
North Korea ni kama nyinyi .. you show downtown Dar with 3 shiny blue towers but beyond that is 80% Uswazi . Beyond Pyongyang is a sorry state of affairs..Kundudweller akiwa kwenye Keyboard 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👆 👆 👆 👆
But with no recorded slums kama kenyaNorth Korea ni kama nyinyi .. you show downtown Dar with 3 shiny blue towers but beyond that is 80% Uswazi . Beyond Pyongyang is a sorry state of affairs..
But with no recorded slums kama kenya
South Africa, Brazil , Kenya, India etc have slums yet they are not LDC kama nyinyi . The world calls them slums, Tanzania calls them dream houses….its all the same ..🤣🤣🤣But with no recorded slums kama kenya
Ldc but hatuna shida ya njaa ,Brazil, India ,south Africa hawafi kwa njaa kama kenyaSouth Africa, Brazil , Kenya, India etc have slums yet they are not LDC kama nyinyi . The world calls them slums, Tanzania calls them dream houses….its all the same ..🤣🤣🤣sa
Haya maneno mbona unajisema.? 🤣🤣🤣🤣 wakenya mkiona hata 2 meters Long pavements kando ya barabara mnajisifu kuwa ni maendeleo. Hata mkiona Calvert mnajinasibu nalo kuwa ni maendeleo. 🤣🤣Tanzanians are very easy to control, just show them a lipstick on a pig and then boom, “…Pig is the most beautiful animal in the farm…”
Ldc ni terms ni kama vile ambavyo china mpaka mwaka 2020 ilihesabika kama developing country na sio developedSouth Africa, Brazil , Kenya, India etc have slums yet they are not LDC kama nyinyi . The world calls them slums, Tanzania calls them dream houses….its all the same ..🤣🤣🤣
Wewe Jitu zima pumbavu North Korea umeijua lini mpumbavu wewe.? Kuna taifa hapa Africa la kushindana na north korea.?South Africa, Brazil , Kenya, India etc have slums yet they are not LDC kama nyinyi . The world calls them slums, Tanzania calls them dream houses….its all the same ..🤣🤣🤣
Unataka jilinganisha na north Korea ambayo Ina nuclear reactor wakati Kenya hata uwezo wa kuzalisha chakula hakuna, hivyo mngepigwa embargoes kama north Korea SI mngekuwa zaid ya Zimbabwe nyinyiSouth Africa, Brazil , Kenya, India etc have slums yet they are not LDC kama nyinyi . The world calls them slums, Tanzania calls them dream houses….its all the same ..🤣🤣🤣