Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ndio estates za middle class huko dar is a slum. 🤣🤣 Dirisha hazina vioo ju they can't afford AC's.

No photo description available.
hawa ni walala hoi wa Tz wamejenga nyumba zao wenyewe. hapangi mtu huku.
 
Kiukweli kabisa wakenya wanakaribia milioni 80 kama sio zaidi na ndiyo mana huwa nashauri hawa wanatakiwa wapunguwe, either by natural death or artificially cz wapo wengi mno watatupa shida kuwalisha huko mbeleni.
Haya majitu yapo mengi bana

Em angalia statistics za wanafunzi wa primary wa SA ambao tunaendana idadi ya watu, nimechukua data zao sababu ndio nchi most developed in Africa ningeweka Tanzania wangesema sisi ni LDC hatupeleki watoto shule

Angalia idadi yao afu angalia idadi ya wakundustan wanaosema wapo million 55 😂😂😂 ndio utajua hawa watu ni wengi wanafake tu data.

Screenshot_20250429-132024.jpg
Screenshot_20250429-132109.jpg
 
Haya majitu yapo mengi bana

Em angalia statistics za wanafunzi wa primary wa SA ambao tunaendana idadi ya watu, nimechukua data zao sababu ndio nchi most developed in Africa ningeweka Tanzania wangesema sisi ni LDC hatupeleki watoto shule

Angalia idadi yao afu angalia idadi ya wakundustan wanaosema wapo million 55 😂😂😂 ndio utajua hawa watu ni wengi wanafake tu data.

View attachment 3319650View attachment 3319651
Kwani watanzania wote wamekosa akili? Again remeber Tanzania have 11.4M kids in primary schoools in around 17k schools only while Kenya has 10M kids in 83k schools. Na tukiwaambia nyinyi ni LDC mnakasirika.

1745923432352.png
 
kwa jinsi mnavyopigana miti hamuwezi kuwa 47m tuu nyie mko wengi sana imagine a small area like Kibera fits 2.5m people that says a lot about your population.
Shida ni kwamba hamtaki kukubali a smaller country with fewer people has a bigger economy than yours.
 
Kenya has 10.4M children in 83,000 Primary Schools.
1745923721449.jpeg

Primary Schools 83k

1745923957751.png

Tanzania has 11.4M kids schooling in
 
Kwani watanzania wote wamekosa akili? Again remeber Tanzania have 11.4M kids in primary schoools in around 17k schools only while Kenya has 10M kids in 83k schools. Na tukiwaambia nyinyi ni LDC mnakasirika.

View attachment 3319653
Haina uhusiano wowote na pia hoja yako unrelated to the topic bado ni ya kipumbavu sababu unaweza kuta Kunyaland shule zenu zinachukua small number of students wakati Tanzania 1 school inachukua number of students 10 times yours.
 
Huoni kasoro na hiyo? Huoni kasoro na over congestion in schools? Kweli mko na mentality ya LDC😂😂🤣😂.
 
Back
Top Bottom