ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,412
- 88,496
Per Capital ndio nini?That was Per Capital.
GDP =
- GDP is calculated by summing all incomes earned in the economy.
- Formula: GDP = Wages + Profits + Rents + Interest + Taxes - Subsidies
Kwa hivo wewe umehesabu Wakenya ukaona sio milioni 47? Yani una magic Gani hiyo unaweza ukiangalia nchi ukajua population yake? I'm curious, do you do it from a space ship or is it door to door? Chamoto kama huyu ndio ana nafuu kiakili hapo bongo Sasa hao wengine madwanzi wako vipi? 🤣🤣Kwanza census huwa mnashiriki au wahusika wanabuni tu.
Maana inaonekana kabisa, you are more than 47 milion people.
We are 53M aproximately after factoring in Birth rate and death rate since the time we did our last census which was 2019.Kwahiyo mko wangapi kwa sasa?
Yani jamaa amenishangaza sana. Agi GDP is calculated by dividing the population by I don’t know what.😂😂😂Hizi makelele zenu tushaazizoea. Mkishindwa lazima takwimu ziwe feki.
La kwanza, GDP haina uhusiano na population. GDP per Capita ndio Ina uhusiano na population Sasa sijui ni kipo unachoongelea..
Wanahesabu idadi ya "boma" badala ya idadi ya watu wanaoishi humo kwenye "boma". 😂😂😂Kwanza census huwa mnashiriki au wahusika wanabuni tu.
Maana inaonekana kabisa, you are more than 47 milion people.
Alafu huyo ndio miongoni mwa wanaojielewa upande wao eti.🤣🤣🤣Yani jamaa amenishangaza sana. Agi GDP is calculated by dividing the population by I don’t know what.😂😂😂
Situation on ground😂😂Alafu huyo ndio miongoni mwa wanaojielewa upande wao eti.🤣🤣🤣
Kuna kibiashara chake anaingizia Tanga, inaonekana anataka kuleta uhuni.Ukiona hvyo keshafukuzwa arudi kwao kibera, c unajua Tz ndiyo Dubai yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa umekosa hoja, umestick na TYPO.Yani jamaa amenishangaza sana. Agi GDP is calculated by dividing the population by I don’t know what.😂😂😂
😂😂 Ruto kila siku yupo huko kujiaibisha juzi kaona aaibishe na majirani lakini cha ajabu bado pesa ya SGR hamtoipata, meanwhile in Tanzania mawaziri wa China wenyewe wanatuletea mapesa ya SGR tukiwa tumekunja 4 tunasip sharubati yetu Rotana kwa gharama zao 😂😂😂
View: https://x.com/mofURT/status/1916890530715517035?t=FpKo7lgjKc8emtvftQiPvw&s=19
That’s not typing error.Sasa umekosa hoja, umestick na TYPO.
MFs
Haijulikani ju we ndio unaongoza KNBS ama? 😂😂Kenya kuna kitu wana FAKE. Aidha, idadi ya watu, thamani ya sarafu.
Maana GDP per Capital wana calculate Jumla la pato la nchi gawa kwa idadi ya watu.
Kuna kitu wana fake.
Kenya wanadai ina watu milioni 47 kwa sensa ya 2019.
Sisi tunafanya sensa kila baada ya miaka 10. Kenya haijulikani watafanya lini.
Wanahesabu idadi ya "boma" badala ya idadi ya watu wanaoishi humo kwenye "boma". 😂😂😂
View: https://youtu.be/7gAghzwmQwc?si=s6hVAnZG8p13pAwQ
Wapo zaidi ya 70m wanaelekea 80m.Kenya kuna kitu wana FAKE. Aidha, idadi ya watu, thamani ya sarafu.
Maana GDP per Capital wana calculate Jumla la pato la nchi gawa kwa idadi ya watu.
Kuna kitu wana fake.
Kenya wanadai ina watu milioni 47 kwa sensa ya 2019.
Sisi tunafanya sensa kila baada ya miaka 10. Kenya haijulikani watafanya lini.
Kwa hivo wewe umehesabu Wakenya ukaona sio milioni 47? Yani una magic Gani hiyo unaweza ukiangalia nchi ukajua population yake? I'm curious, do you do it from a space ship or is it door to door? Chamoto kama huyu ndio ana nafuu kiakili hapo bongo Sasa hao wengine madwanzi wako vipi? 🤣🤣
Enyewe Ile report ya nchi yenu kuwa vichaa ni ya ukweli. Huwa mnanikumbusha hii quote from one of our comedians here in Kenya.
View: https://vm.tiktok.com/ZMBcXcMGK/
Census yao ya mwisho walisema wapo 60.Kwanza census huwa mnashiriki au wahusika wanabuni tu.
Maana inaonekana kabisa, you are more than 47 milion people.
Waliambiwa "You cannot eat GDP" 😂😂😂Nilijua tu.
Ndio maana baadhi yao wameanza kuhisi kuna mchezo kwenye GDP na GDP per CapitaView attachment 3319348😂