Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nimezurula sana Kenya.

Kwakweli mnatia huruma.

Hali ni mbayaaa.

In short, hakuna mtanzania anaweza kuishi Kenya.

Kenya ni JELA.

Nairobi Kenyans suffer.

Ukitembea huko vijijini, Mombasa (Afghanstan), Lamu, Kilifi 😂😂😂

Kenyans wako HELL.

Poverty to the core
Kuna uzi upo ngoja nitautafuta niulete humu, jamaa alikuwa hajawahi kwenda Kenya (Nairobi) aisee alipoenda anakuambia hatamani tena kurudi huko, maisha ni magumu, makazi yako hovyo hovyo, yn watu wanaishi kama mashetani, ukiangalia reactions za wabongo waliofika Nairobi aiseee hakuna mbongo hata mmoja mwenye positive feedback wote ni wanasema hawawezi kurudi tena kule, nikiuona nitauweka humu.
 
Kuna uzi upo ngoja nitautafuta niulete humu, jamaa alikuwa hajawahi kwenda Kenya (Nairobi) aisee alipoenda anakuambia hatamani tena kurudi huko, maisha ni magumu, makazi yako hovyo hovyo, yn watu wanaishi kama mashetani, ukiangalia reactions za wabongo waliofika Nairobi aiseee hakuna mbongo hata mmoja mwenye positive feedback wote ni wanasema hawawezi kurudi tena kule, nikiuona nitauweka humu.
Kenya maeneo mazuri yote hawakai wakenya.

Na ilivyojengwa Nairobi, unaweza kukaa Kenya usikutane kabisa na hawa Wakenya choka mbaya.

Mfano, kuna eneo panaitwa Westland, ukifikia hapo, apartments, migahawa, masoko ya kawaida, supermarkets, kumbi za burudani, bars.

Yaani hata maandamano ya wakenya huwa wanaokaa huko hawana muda.

Watu wa Kibera huko ndio waandamanaji na wapiga kelele.

Ni kama choka mbaya wote wametengewa maeneo yao ya kificho wasisumbie matajiri wageni
 
Diaspora yao Durban, nimeelewa kwanini wasauzi hawawataki 😂😂😂👇
1000006540.jpg
 
Sasa wewe na Forbes tuamini nani? Who will even bother to disclose your wealth to you? I trust forbes anyday anytime. Alafu mbona unanionyesha hiyo screenshot? Itanisaidia na nini?
Jamáa wako Nigeria wanajiita Forbes . Next atasema he got mail from the White House asking him about his opinion on Trump . I got one too ..🤣🤣🤣
 
Tanzanians arw beggars. Why don’t they traffic Kenyans kama indeed ni wakenya ndio wanafanya trafficking? Why not Ugandans, Burundians and Rwandese? Mbona watanzania ndio wanakuwa trafficked to beg in the streets.

There are also adult Tanzanians who come to beg in Kenya out of their free will. Actually Tanzania is synonimous of begging.
Hawa wamekua hivi tangu zamani!!. Masikini wanakimbia roho mbaya, uchoyo, urogi (albino killers) na ufukara wa Tanzania.,
Screenshot_20240410-201947.jpg

Screenshot_20240410-202118.jpg

Screenshot_20240410-202033.jpg

Screenshot_20240527-231628.jpg

Screenshot_20240527-231108.jpg

Screenshot_20240527-231149.jpg

Screenshot_20240527-231129.jpg
 
The competion is good for producing high quality products. They need to keep Master on toes so that Master improve on the durability.
Sure. KVM are good in assembly but their body designs are whack. They need to up their game.
 
Back
Top Bottom