Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwana mdogo govi unataka kila kitu ubishane 🤣🤣🤣
Baboon wewe tulia. These are the three biggest entertainment industries in sub Saharan Africa.

1745837901829.jpeg
 
Huu mji nishawahi kutembea kwa mguu na kuumaliza in less than 4 hours tuu.
Kila siku unasema humu umetembea Nairobi na ukiulizwa upost picha moja tu ambayo umepiga mwenyewe Nairobi hauna. Huu ujinga wenu wa kujifanya mnaijua Kenya na hata mpakani hamjatia guu sijui mtaacha lini.
 
Yes,

From Zanzibar kwenda Mombasa is cheap kuliko kupeleka Mwanza, Lake Victoria where Songoro is headquarted.

Logistics favours Mombasa
In Kenya, they can be repaired and made both in Kisumu and Mombasa. Unaona utofauti sasa?
 
Kila siku unasema humu umetembea Nairobi na ukiulizwa upost picha moja tu ambayo umepiga mwenyewe Nairobi hauna. Huu ujinga wenu wa kujifanya mnaijua Kenya na hata mpakani hamjatia guu sijui mtaacha lini.
Leo ni 4hrs, kuna siku ingine alisema alitembea Nairobi na 30minutes😂😂😂.
He is also the same person who said Bomas Hotel iko CBD na alikuwa huko😂😂🤣
 
Leo ni 4hrs, kuna siku ingine alisema alitembea Nairobi na 30minutes😂😂😂.
He is also the same person who said Bomas Hotel iko CBD na alikuwa huko😂😂🤣
Leta projects kutoka kenya. Maana 24/7 unaweka umbea tu. Au kenya kwa sasa ni domant?
 
Leo ni 4hrs, kuna siku ingine alisema alitembea Nairobi na 30minutes😂😂😂.
He is also the same person who said Bomas Hotel iko CBD na alikuwa huko😂😂🤣
Kuna siku Rhaenyra Targaryen amemchallange apost picha moja tu akiwa Nairobi akashindwa. Jamaa hata hapo Bongo nina uhakika miji mingi hajatembea. Heri Baboonboy ashaafika Moshi kwa basi akatutumia picha.🤣 🤣
 
Back
Top Bottom