Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sama boy 255 na watanzania humu wako hivi👇👇 tangu huu Uzi uanzishwe, wamebanwa siku zote, hawana pakutokea, ni domo domo na vijisababu uchwara kujiliwaza tu, pumzi ziliwaishia kitambo🤣🤣🤣🤣🤣.,
1743743002328.jpg
 
Iringa na Mwanza na Dodoma n.k, ni city Tanzania, ., yaani mko hovyo, fyata tu ulale pole pole., aibu tupu🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,

Utakufa humu, linaumia kweli, haya ni maumivu 🤣🤣🤣🤣, unatafuta pakutokea eti?.., 🤣🤣🤣🤣🤣, pumzika., inadhihirika wazi wazi Tanzania ni LDC, jiji ni moja Dar is slum 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3315731

Hii ukweli hawapendi, sio tu watanzania, just check foreigners who are not Kenyans or Tanzanians maoni yao kuhusu Kenya na Tz.., Tz iko down sana averagely.., BRT na ghorofa tatu zinafumba vilaza macho wanadhani wako league moja na Kenya.., 🤣🤣🤣.,

Eldy affordable housing project. You can't get anything like that in Tz outside Dar. Na hata huko Dar ni za kehesabika tu!

Eldoret sio mwenzenu nyambaff , pia mimi naona tu miti za mihogo hakuna buildings Eldoret 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
View attachment 3315742
View attachment 3315748
View attachment 3315745
View attachment 3315746
View attachment 3315747
View attachment 3315743
View attachment 3315744

Sama boy 255 na watanzania humu wako hivi👇👇 tangu huu Uzi uanzishwe, wamebanwa siku zote, hawana pakutokea, ni domo domo na vijisababu uchwara kujiliwaza tu, pumzi ziliwaishia kitambo🤣🤣🤣🤣🤣.,
View attachment 3315761
Naona umengoja jiondoke Ndio urudi. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni level ya Handeni. 🤣🤣🤣🤣
 
Mitumba za LDC countries, over 10 years date of manufacturing, gari za Tanzania na za majirani fukara kama wao🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
Vijigari viwili vya transit unataka kusema nini we jipumbavu.? 🤣🤣🤣
 
Sama boy 255 na watanzania humu wako hivi👇👇 tangu huu Uzi uanzishwe, wamebanwa siku zote, hawana pakutokea, ni domo domo na vijisababu uchwara kujiliwaza tu, pumzi ziliwaishia kitambo🤣🤣🤣🤣🤣.,
View attachment 3315761
Unaoniogopa wewe unangoja nitoke online Ndio urudi. 🤣🤣🤣🤣🤣 sasa hii Ndio upumbavu gani.? 👇🏾Heb omba battle nikuletee fair comparison ya hiii 🤣🤣🤣
IMG_6787.jpeg
 
Iringa na Mwanza na Dodoma n.k, ni city Tanzania, ., yaani mko hovyo, fyata tu ulale pole pole., aibu tupu🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
Wewe jipumbavu kuna mji gani hapo kundurenda wakulinganisha na hizi miji umetaja.? Kando ya Nairobi.? 🤣🤣🤣🤣🤣 Leta mji wowote ule mimi nakukalisha wewe.

Hizo kisumu na upumbavu na upumbavu mwingine si mi vijiji tu huku Tz, the likes of Handeni and Korogwe.
 
Back
Top Bottom