Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
hivi kwanini upanuzi wa barabara kutoka Arusha-Moshi-Holili haujaanza?
Tukiwaambia saa hii Mombasa ishapita Dar hawaamini.Bangladesh 🤣 🤣 🤣![]()
![]()
acha kwanza watu wapige hela sio muda wa kufatilia maendeleo ni muda wa watu kupiga pesa 😂😂😂😂hivi kwanini upanuzi wa barabara kutoka Arusha-Moshi-Holili haujaanza?
New york city babyDhaka Bangladesh baby 🤣🤣🤣View attachment 3315576
Vita unaitaka au unajichekesha tu.? 🤣🤣🤣Gorofa ni tatu hapa😂😂
hiyo picha inashida gani bwana much know.? 🤣🤣🤣Umechemsha walai🤣🤣🤣🤣🤣🤣., photo saved for later🤣🤣🤣🤣🤣.,
Mbona unatuwekea renda tena.? 🤣🤣🤣🤣Eldoret city is going to swallow Mwanza and Arusha combined.., massive transformation happening kimya kimya
View attachment 3315478
View attachment 3315481
View attachment 3315482
View attachment 3315488
View attachment 3315489
View attachment 3315496
Progress
View attachment 3315502
View attachment 3315497
View attachment 3315501
View attachment 3315504
View attachment 3315503
Kila sehemu ni construction..,
midomo za Watanzania: "uchumi wa makalatasi"🤣🤣🤣🔥
www.capitalfm.co.ke
Ati kuna mbwa analinganisha Eldoret na Arusha! Hivi Eldoret kuna hata 3 star hotel?Wengine tunajenga miji jirani wanajenga kelele. Arusha. 👇🏾View attachment 3315631View attachment 3315633View attachment 3315640View attachment 3315643kuna hili pumbavu Don YF. Linalazimisha vijiji zao zishindane na majiji za Bongo. 🤣🤣🤣
Unaumia ukiwa wapi😜🤣🤣., render na progress., 🔥🔥Mbona unatuwekea renda tena.? 🤣🤣🤣🤣
Unapost vitu vyenye havipo ku flex.? 🤣🤣🤣🤣 watu wanapost majumba we unapost maboma.? 🤣🤣🤣
Mwendazimu ni mwendazimu tu🤣🤣🤣🤣🤣., hii👇 project moja tu, sio zote inafunika hii takataka.., lipumbavu lizee, Geza Ulole linataja eti 3 star hotel, ata kwa msitu(mbuga za wanyama) wanajenga 5 star hotel , hiyo sio kigezo ya jiji, nyambaff.,Wengine tunajenga miji jirani wanajenga kelele. Arusha. 👇🏾View attachment 3315631View attachment 3315633View attachment 3315640View attachment 3315643kuna hili pumbavu Don YF. Linalazimisha vijiji zao zishindane na majiji za Bongo. 🤣🤣🤣
Ni Eldoret, jiji la tano Kenya, sio Nairobi wala Mombasa, usipotee njia dogo🤣🤣🤣🤣🤣., inakuuma najua., sio makosa yangu, Kenya iko ilivyo., zoea mapema usipate pressure🤣🤣🤣🤣.,Unapost vitu vyenye havipo ku flex.? 🤣🤣🤣🤣 watu wanapost majumba we unapost maboma.? 🤣🤣🤣