Wivu tu unakusumbua, ndiyo mana mlikuwa hamumpendi magufuli cz alikuwa shujaa wa kweli, amefyeka fursa zote mlizokuwa mnategemea kutoka kwetu nyie parasite, hiyo air Tanzania ndiyo tishio kubwa la KQ na huko mbeleni mkae mkijua no passenger will use KQ cz price zetu zitakuwa chini mara mbili ya KQ, ni kwasababu haturushi ndege kupata faida ya airline bali kuchangamsha economy, mlikuwa mnafurahi kuona nchi kubwa kama Tz kukosa efficient and reliable national carrier ili parasite mbenefit from us, pambaneni na Hali yenu.