Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa railway ya Tz imetoka wapi hapa au inakuuma sana ukaamua utoe machungu 🤣🤣🤣
Anasahau kuwa Burundi tu pamoja na udogo wake ana nickel ya kufa mtu na yote inategemea sgr Tanzania kufika bandarini hapo hatujaweka nickeli ya kabanga
Burundi has significant nickel reserves, particularly at the Musongati site. While exploration and development have been ongoing, the region has faced challenges including civil conflict and infrastructure limitations. Burundi aims to start nickel production at Musongati and eventually produce large quantities of nickel ore, with plans for increased power generation to support the mining operations.
Elaboration:
Nickel Deposits:
Burundi possesses substantial nickel resources, with estimates suggesting around 285 million tonnes of reserves. The Musongati area, in the Rutana province, is known for its large nickel deposits.
Kwa mzigo huo kwa miaka 30 tutahitaji kusafirisha Kila mwaka 9.5mil na kwa Kila siku tutakiwa kusafirisha tonne 27,141 sawa na mabehewa 678 ya tan 40 hapo hatuweka mzigo wa kutoka dar kwenda Kongo .
 
Si railway ya Tz inaelekea Burundi? Ama Burundi siku hizi sio jirani yenu?
Kabanga in kigoma , sgr Tanzania itakosa mzigo ATI


Kabanga Mineral Resource estimate as of December 4, 2024 as attributable to Lifezone (69.7% of total) of 46.8 million tonnes (Measured and Indicated resources) at 2.09% nickel, 0.29% copper and 0.16% cobalt and additional 11.3 million tonnes (Inferred resources) at 2.08% nickel, 0.28% copper and 0.15% cobalt.1,2, 3, 4, 5
 
Si ukona Google kwa simu yako, make use of it.
Does this look like a phone to you, do you think everyone is as hungry and chokoraa as Kenyans?

1745428194919.png
 

Attachments

  • 1745428178216.png
    1745428178216.png
    103 KB · Views: 9
Back
Top Bottom