The Best007 yule pale anapiga mishe baada ya kupigwa na baridi usiku mzima kama bawabu😂😂Bongoslum in summary. Poverty, poor roads and inequality. Lakini hapa wanajifanya wako sawa, kazi ni kutafuta mashida za wakenya ndio wajiliwaze.
![]()
Jitayarishe kupata matusi ya kila aina kutoka kwa "wazalendo" watanzania wenzakoMe ni mbongo but Nairobi wametupita sana ukweli tuukubali
Inlook sasa hatari 🤣🤣🤣Outlook 🤣🤣
Ni kama vile mnawakataaga wakenya wenzenu kule twitter, nothing special. Huyo anaijua Dar ila haijui Nairobi, akifuatilia huu uzi vzr ataelewa tunazungumzia nn.Jitayarishe kupata matusi ya kila aina kutoka kwa "wazalendo" watanzania wenzako
Wanakosea sn kufanya hvyo, ni ujinga.Tanzania was not sharing economic data with Imf and wb for good seven years hata sasa sijui kama waneshaondoa au kurekebisha hiyo sheria ya takwimu
Magu aligombana nao kwa sheria ya takwimu ndio maana IMF na WB wakasitisha assistance kwa TZ ila sijui kama wamesha repeal hiyo sheria.Wanakosea sn kufanya hvyo, ni ujinga.
vizuri ndio muendelee kuchukua gas via Tanzania🤣🤣🤣My take
Hahaha...kumbe waarabu bado wanatamba!
Tanzania tycoon setback as Kilifi LPG plant nod revoked
SUNDAY, MARCH 30, 2025 - 3 min read
![]()
Founder and CEO of The Lake Group, Ally Edha Awadh.
Photo credit: File | Nation Media Group
![]()
View: https://x.com/BD_Africa/status/1906889299846365198
MY TAKE
Anhaa kumbe figisu bado zipo!
kwani hiyo list imesema top 10 au anything? You think we cannot tinker with our exchange rates like you to prop up our GDP?Yani with the all minerals in their country bado they can’t even manage top 10 in Africa😂😂🤣.
Kenya with no minerals are giving the likes of Nigeria, Morocco and Angola run for their monies. Actually it’s inly Kenya and Ethiopia ndio hawategemei minerals in this list.
Acha ubishi pitia hapa it was first proposed in 2014 while were completing ours 🤣🤣🤣You can twist the issue all you want but it doesn’t take away the facts that Nairobi was first to propose, study and try to implement BRT system. Dar joined the game after . As I indicated earlier, kudos to you guys, since you have no political challenges za upuzi ( CCM is dictatorship) you moved well with your plans. Nairobi BRT got overwhelmed by Matatu cartels’ attacks since it was a threat to their booming business. Cartels won the day . There is still plans to restart the project with Cartels having a stake in it. We shall see. Now you know. Na hiyo pink drawing ni Kazi tu ya wizi wa Mali ya uma . Facts
SGR was an East African Initiative rooted in East Africa railways master plan. it was a joint agreement to upgrade our railways. because Kenya started first does not mean other countries copied KenyaInawezekana hata haujui source ya sgr Kenya pole . Hilo halikuwa wazo Lenu bali ilianzia kwenye kikao cha heads of state na kampuni iliyoaanda masterplan ilikuwa ya kikanada
The East African Railway Master Plan, which addresses the need for new railway lines, was formally directed by EAC Heads of State in 2004. This followed a period where the railway system in the region was near collapse. The plan aims to modernize existing lines and extend them to other East African nations.
Here's a more detailed timeline:
Early 20th Century:
Early railway lines were built, including the Usambara Railway in Tanzania (starting in 1893) and the Uganda Railway (starting in 1896).
1960s:
The TAZARA railway project, connecting Tanzania and Zambia, was initiated in the mid-1960s.
Late 20th Century:
The Tanzania-Zambia Railway (TAZARA) was completed in 1976.
2004:
EAC Heads of State directed the development of the East African Railway Master Plan.
2007-2009:
The Master Plan was prepared by CPCS Transcom of Canada, and completed in 2009.
2017:
Kenya opened the Nairobi-Mombasa Standard Gauge Railway (SGR), part of the larger regional network.
Haswa hawa nyang'au kama akina Nicxie😎😎...hatucheki na nyani msimu huu 😁
Trust me , Baboon ain’t got no shit on me . But if you need some 🍌 bananas, I will order some for you ..🤣🤣