Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu mnakumbuka kenyans wanadiss treni ya Tanzania kuwa walemavu na wagonjwa hawajazingatiwa kisa treni ina ngazi? Za kwako ziko parallel na sehemu ya kupandia.

Hakíka. Maneno 100 ya mkenya chukua moja. Kwa nini kenyans mnapenda faking maisha. Ndo maana baadhi wakiwa YouTube huko wanasifia kila kitu cha Tanzania wakitembelea Tz. Ila wakiwa mitandaoni wanajifanya matawi.
They know the truth who is better in this region. Ndo maana sibishani sana nao maana naifahamu kenya vzr tu.

View attachment 3313093View attachment 3313094
Halafu mbona huo mlango ni finyu sana!
 
Gap hapa kwa GDP per capita ndio hata inaongezeka sana. Uganda ashairuka bongoslum kwa GDP per capita.
🤣 🤣 🤣
Image
Na Burundi penye wanapeleka SGR ni second last😂😂🤣.

Hata Rwanda itawapita hivi karibuni.
 
Yaani uchumi wa Ethiopia umeshuka toka $192b hadi $116b?
Kenya uchumi wao imepanda toka $104 hadi $133b? Kwamba wameongea GDP ya $29 within a year? Kwa investments gan wamefanya kenya? Bus nchi yao uchumi wao unakua kuliko nchi zote Duniani. Then Ruto is the best president ever. Wasimuachie aisee. Amefanya wonders kwenye uchumi

Nb. Magufuli alikataaga huu ujinga. We need real economic developments on the ground sio only economic growth
Hapo ni currency factors. Against UsD ndo maana unaweza usikope ila deni likapanda kama hela yako ikishuka thamani agaisnt UsD

Kitu ambacho kinatokea Tz demand ya dollar ni kubwa ila kukidhi mega projects zetu zote so lazima currency ipate shida hata kama uchumi on ground unakuwa
 
Watu mnakumbuka kenyans wanadiss treni ya Tanzania kuwa walemavu na wagonjwa hawajazingatiwa kisa treni ina ngazi? Za kwao ziko parallel na sehemu ya kupandia.

Hakíka. Maneno 100 ya mkenya chukua moja. Kwa nini kenyans mnapenda faking maisha. Ndo maana baadhi wakiwa YouTube huko wanasifia kila kitu cha Tanzania wakitembelea Tz. Ila wakiwa mitandaoni wanajifanya matawi.
They know the truth who is better in this region. Ndo maana sibishani sana nao maana naifahamu kenya vzr tu.

View attachment 3313093View attachment 3313094
Kibaya zaidi ni hizi treni zao mpya wanazosema zipo advance alfu zipo juu sana kutoka kwenye kingo ukilinganisha na bongo
 
Wakenya wanaogopa sana post za maendeleo.

Kazi Inafanyika Kawe, Tanganyika Packers Kwaajili Ya Tukio Kubwa La Samia Serengeti Festival, Tamasha Kubwa Linaloenda Kufanyika April 26,2025

1745415191014.png
 
Back
Top Bottom