Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pride
IMG_4203.jpeg

View: https://x.com/chineseembkenya/status/1914658093570367601?s=46
 
Teargass akiniona mimi anakimbia JF. IamLee toto lenye njaa hana hamu na mimi. mwaiofhawaii kijana kutoka hawaii ya Kajiando ndiye mshamba kuliko wakenya wote. nairobae kijana anayependa ushoga. NairobiWalker kijana wa Nairaland anayezunguka social media zote duniani kuichafua tanzania.

Hiki kitu hakuna huko kundustan

Kazi Inafanyika Kawe, Tanganyika Packers Kwaajili Ya Tukio Kubwa La Samia Serengeti Festival, Tamasha Kubwa Linaloenda Kufanyika April 26,2025.

1745401922867.png

1745401976141.png
 
Tanzania anategemea jirani wa GDP wa $6B to make their railway profitable😂😂😂🤣

View attachment 3312999
Si bora ya sisi pembeni yetu kuna Congo na UG. Na wote tuna potential nao, anytime soon tunavuna faida ya mafuta ya UG, na tunachukua madini Congo kwa SGR. Nyie sasa 🤣🤣🤣🤣 hao patners wenu wote hawajiwezi. Somali ana potential gani.? Huyo south Sudan je.? 🤣🤣 mna dream za kupeleka sgr UG watoa pesa wamehepa. 🤣🤣🤣
 
Hapo waombe sgr isifike hata isaka tu wameisha
 
Si bora ya sisi pembeni yetu kuna Congo na UG. Na wote tuna potential nao, anytime soon tunavuna faida ya mafuta ya UG, na tunachukua madini Congo kwa SGR. Nyie sasa 🤣🤣🤣🤣 hao patners wenu wote hawajiwezi. Somali ana potential gani.? Huyo south Sudan je.? 🤣🤣 mna dream za kupeleka sgr UG watoa pesa wamehepa. 🤣🤣🤣
IMG_0519.jpeg
 
Back
Top Bottom