Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ndio Takwimu za WB zilizopo Sasa ni za 2023 ambazo Kwa Tanzania ni USD 80bln zilitolewa June 2024 mwaka Jana.

Mwaka huu wa 2025 watatoa takwimu za 2024 ambazo tunatarajia Kwa Tanzania itakuwa USD 86bln .

Sasa Hawa IMF wanaposema outlook ya 2025 itakuwa 85bln hapo ni nini?
Against USD, that means , currency deflation against USD inaishusha GDP yetu kidogo against USD, Tz shilling haijaperform vizuri lately, we were supposed to be at 86billion usd lakini depreciation , sasa ukiangalia total investment percentage of GDP data hizo za IMF tz imeipiku kenya , so tuna perform vizuri on some aspects , Mega projects zinafanya USD ipande thamani agaisnt TZs ,Kenya hana Mega ptoject kama za Tanzania
 
Look at below data of
Total investment TZ VS KE

TZ - has invested 38% of GDP AND RISING- 32 BIl USD
KE- INVESTED 17% OF GDP -22 BIL usd

SOURCE NI IMF

Unahisi over long run na
Screenshot_23-4-2025_101159_www.imf.org.jpeg
Screenshot_23-4-2025_101112_www.imf.org.jpeg
ni atabenefit when investement pay
 
Hawashare data na IMF na wametoka tu kupewa loan juzi. Hawa hudhani sisi ni mafala.
IMF can’t give you loan if you don’t cooperate, so waache kusema ati GDP yao ni ndogo because hawapei IMF figures zao😂😂🤣
Look at below data of
Total investment TZ VS KE

TZ - has invested 38% of GDP AND RISING- 32 BIl USD
KE- INVESTED 17% OF GDP -22 BIL usd

SOURCE NI IMF

Unahisi over long run naView attachment 3312869View attachment 3312871ni atabenefit when investement pay
Investments zenye mnafanya saa hii sisi tulishafanya kitambo, sasa sijui unaongelea nini.
 
IMF can’t give you loan if you don’t cooperate, so waache kusema ati GDP yao ni ndogo because hawapei IMF figures zao😂😂🤣

Investments zenye mnafanya saa hii sisi tulishafanya kitambo, sasa sijui unaongelea nini.
Investment gani mmefanya
 
Sisi tuna trend nzuri na tunaendelea
1. Your SGR is short than ours
2 . We have compelted JNHPP now we produce Umeme 1000mw more than you do
3. both we are doing port expansions
4 Buliidng Regional Airports almost all regions mind you we have more cities than you do
5 . air Tanzania is still buying new planes
6 . real estate , industrial complexes etc

I think your point is right that some of our invetsement mshazifanya but we are doing it better we are having more than you donand in future invetstment zetu will pay so for now your GDP IS MORE , but the trend of investements ndo tuko juu yenu

data says we have invested 10bil usd more than you have. dar is constructiong about 80km of BRT lines as we speak,

soon Dar will be constructing new Metro/Commuter line
 
So yenu nii ya halali ila yetu ni ya kuchemshwa!🤔🤔🤔
Ama nyinyi pia mnachemsha kama sisi?
Ya kwenu imeongezeka sana yaani wameongeza sifuri wakati ukuaji wa Uchumi ni mdogo kuliko 🇹🇿🤣🤣
 
kwani hiyo list imesema top 10 au anything? You think we cannot tinker with our exchange rates like you to prop up our GDP?
Yaani uchumi wa Ethiopia umeshuka toka $192b hadi $116b?
Kenya uchumi wao imepanda toka $104 hadi $133b? Kwamba wameongea GDP ya $29 within a year? Kwa investments gan wamefanya kenya? Bus nchi yao uchumi wao unakua kuliko nchi zote Duniani. Then Ruto is the best president ever. Wasimuachie aisee. Amefanya wonders kwenye uchumi

Nb. Magufuli alikataaga huu ujinga. We need real economic developments on the ground sio only economic growth
 
Eti na Uchumi wa Nigeria nao umeshuka 😂😂

Ndio maana nimesema hizi takwimu za outlook ni uongo na huwa sipendi kuzitumia Kwa sababu hazikupi actual figures Bali Matarajio.

Tusubirie takwimu halisi July za WB.
 
Yaani uchumi wa Ethiopia umeshuka toka $192b hadi $116b?
Kenya uchumi wao imepanda toka $104 hadi $133b? Kwamba wameongea GDP ya $29 within a year? Kwa investments gan wamefanya kenya? Bus nchi yao uchumi wao unakua kuliko nchi zote Duniani. Then Ruto is the best president ever. Wasimuachie aisee. Amefanya wonders kwenye uchumi

Nb. Magufuli alikataaga huu ujinga. We need real economic developments on the ground sio only economic growth
Tanzanians and understanding economics ni kama maji na mafuta.

Mbona usijuilize why Kenyan GDP decreased from $116B in 2022 to $104B in 2023? I think you people don’t understand the power of currency depreciation/Appreciation here. Nyinyi mnadhani GDP ni tu investments, kwanza investments zenyewe pesa zote zinaenda kwa foreign contractors.
 
Back
Top Bottom