Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taja jina tu mzee. Hizo Propaganda na kuandika taarifa za uongo kutoka Kenya tulishazizoea. 🤣🤣🤣🤣
Jana unatuambia Safaricom inatengeneza revenue ya $5B

Stupid Kenyan
Endelea kuumia.

IMG_1390.png
 
Mbona ulete report ya 2023? 2024 imekushinda kupata? Alafu kwani huoni profit hapo ni Ksh84B? Shiw me any Tanzanian comoany that can make that profit.
Kumbe hata kusoma financial statement huijui .
Mwaka wa fedha wa safaricom unaishia 31/03 ya Kila mwaka . Hapo report imeletwa ya mwaka2023/ 2024 kwenye report zote lazima wataleta na report ya mwaka uliopita ili upate vitu kama opening balance.
Kajifunze kutafsiri financial years. Hazisomwi kama maandazi
Report ya 2024/2025 haiwez kuwa imetoka sasa hivi ndo kwanza wanafunga hesabu itarajie baada ya miezi miwili mburula.
Na bado hamtakuwa na faida hata ya 450mil

Nincompoop
 
Anakuambia ni ya mwaka 2023 hajui kuwa safaricom mwaka wake wa fedha unaishia mach kwa hiyo ripot inayotoka itakuwa inasoma 2024/2025 ambayo bado haijatolewa
Safaricom is the largest company in East Africa na hakuna kitu unaweza fanya to change that. Itabidii tu uzoee.
1745236559378.jpg
 
Safaricom is the largest company in East Africa na hakuna kitu unaweza fanya to change that. Itabidii tu uzoee.
View attachment 3311039
Haha mwenzako anajua market capitalization ni mauzo ya bidhaa asijue kuwa ni idadi ya hisa zinazoweza uzwa au zilizopo mtaan na sio mauzo.
Elimu ya pesa Hawa vilaza hawana ndo maana hata financial statement zinawashinda kutafsiri
 
Does that change the fact that it's the biggest company in East Africa?
 
Back
Top Bottom