Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 🤣 Hiyo hapo ndiyo biggest Company in Kenya inatengenea faida ya Ksh 35,380.3M
Sawa na $270,270.27
Wakati Twiga Minerals inatoa dividend kwenye serikali ya Tanzania $800,000,000, tuambie faida itakuwa $ ngapi?

Hiki ndicho tulichokuwa tunaongea kijana. 🤣🤣🤣🤣
So according to you Safaricom makes only Ksh34M in profit?😂😂😂🤣.

Upumbavu wako can’t be solved hata kwa maombi.
 
The average man stops growing in height at 18, unless you're 20 years old now, you're still a dwarf. Libaba limemea ndevu alafu linasema picha lilipiga likiwa litoto. Picha zenyewe umepost humu mwenyewe last year. You're a dwarf bro. Jikubali. Kunipiga Kofi ya uso labda ubebwe na Geza Ulole
20 gani? Huyo baboon ni 30yrs old.
 
So according to you Safaricom makes only Ksh34M in profit?😂😂😂🤣.

Upumbavu wako can’t be solved hata kwa maombi.
Kinachoongeaa ni financial statement . Taarifa ya fedha na matumizi yake yanapatikna kwenye financial statement faida ya safaricom after tax ni 35bil ambayo ni sawa na 277mil usd .
 
The average man stops growing in height at 18, unless you're 20 years old now, you're still a dwarf. Libaba limemea ndevu alafu linasema picha lilipiga likiwa litoto. Picha zenyewe umepost humu mwenyewe last year. You're a dwarf bro. Jikubali. Kunipiga Kofi ya uso labda ubebwe na Geza Ulole
What if Kama Geza Ulole pia ni mfupi Kama yeye?🤣🤣😂😂
 
Kinachoongeaa ni financial statement . Taarifa ya fedha na matumizi yake yanapatikna kwenye financial statement faida ya safaricom after tax ni 35bil ambayo ni sawa na 277mil usd .
Ebu tuonyeshe hiyo statement nikuonyeshe how foolish you are.
 
Free floating pia imecomprise na orodha ya foreign investment bado hazifiki hata 15 kwa individual
Sijui mbona Nabiswa na idiot mwenye hajui anything in finance and accounting. Kwa akili yako the part in red and green colors hazifiki 15%? Kweli wewe ni mpumbavu kuliko anybody here.

1745228295207.jpeg
 
Wewe ndo unaibika

Speed guns and speed cameras both measure vehicle speed, but they differ in how they do so and where they're typically used. Speed guns are handheld devices that use radar or laser to measure speed in real-time, often by officers in moving vehicles or stationed along roads. Speed cameras, on the other hand, are fixed, automated systems that use radar, laser, or video analytics to determine speed, typically at designated locations.
Si unaona vile wewe ni mpumbavu? Unaonyeshwa modern speed camera Ana mwenzako anatuletea watu wa kujificha msituni wakipiga picha Alafu wewe Unajiona mjanja wa kuzilinganisha, just accept that Tanzania will forever be behind Kenya.
 
View: https://x.com/Rydx_017/status/1914218738041106693

View: https://x.com/Rydx_017/status/1914218747532890525

View: https://x.com/Rydx_017/status/1914218776851042632

View: https://x.com/Rydx_017/status/1914218799827403193

MY TAKE
Huyu mdada kajua kutumia hii nafasi! Nauona huu mwaka utakuwa mzuri kwake! Tena flights za Air Tanzania kwenda Lagos zinaanza! Parcels zitakuwa nyingi!

Wapopo wataanza sasa kupata real test of Fashion. Walikuwa wanawaonea sana Ghana

1745228493230.png
 
Hii ni wami mzee. Nime record hii video mwenyewe, 👇🏾angalia cameras hizo kwenye nguzo za taa 🤣🤣🤣View attachment 3310929
But these are not speed cameras, where does they indicate speed of a motor vehicles? Where will the incoming driver see his/her speed there without looking at the speedometer? Hizi ni tu surveillance cameras Kama vile za nyumba.
 
Mzee issue za speed camera hapa Tanzania zipo long time ago. Waulize wakenya wenzio waliotembelea bongo
 
Back
Top Bottom