chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,034
Hawa makuma ni mafala huwezi amini, na ndio huwa akili za viongozi wao wanawaza hivyo kabisa, magufuli alifufua ATCL kama alivyofufua mashirika mengi ya umma yaliokua yamekufa lakini wakundustan wanasema tuliwageza, SGR plan ya Tanzania ipo mpaka kule skyscrapercity toka early 2000s lakini cha ajabu wanasema tumewaiga waoYou think Magufuli revived Atcl to Compete with KQ ?
You guys hate when Tz is developing and any project inakuwa kama tumewageza
So a country big as all EA counties combined unataka kusiwe hata na ndege za kuruka kwenda another region in Tz
Are you guys serious
Nyie vip? Yaani kila kinachofanyika Tanzania bas wanashindana na kenya. BRT iliyojengwa Kuanzia 2012 na kufunction 2015 huko, 10 years ago. Nyinyi kwa nini mmelazimisha BRT system Thika road na mmefeli vibaya sana, hata phase moja imewashinda. Si mlikuwa mnaiga Tz?Hata BRT walifanya kujishindanisha na Kenya, angalia sasa inavyojifia.
Ndio tatizo la nchi kuwekeza kwenye propaganda than kuwekeza kwenye reality.This is what Americans thought of China until they got a rude awakening recently😂😎
Kwan Dar haikuwaga na commuter trains? Hazipo kwani? Treni za mwakyembe ni mpya?Nairobi BRT was proposed and wheels started rolling before yenu . Sooner you jumped the bandwagon na mkasema mnajenga yenu pia. I WILL GIVE YOU CREDIT.. you accomplished your goal despite the chaotic situation with your BRT..Ours got stuck in politics ya Matatu cartels. Nairobi then switched to Trains . Sooner you also announced Dar trains zinakuja .. you get the picture?..😄😄
We taahira BRT mliwahi kuwa nayo lini? Halafu Tanzania haijawahi kuiwaza Kunyaland hata siku 1, huwa mnajiconsole tu lakini hamjawahi kuwa kwenye akili za viongozi wa TanzaniaHata BRT walifanya kujishindanisha na Kenya, angalia sasa inavyojifia.
Dmu yao inabeba abiria wasiofikia hata 10,000 kwa siku brt inabeba abiria zaid 100,000 kwa siku bado wanataka kujilinganishaNyie vip? Yaani kila kinachofanyika Tanzania bas wanashindana na kenya. BRT iliyojengwa Kuanzia 2012 na kufunction 2015 huko, 10 years ago. Nyinyi kwa nini mmelazimisha BRT system Thika road na mmefeli vibaya sana, hata phase moja imewashinda. Si mlikuwa mnaiga Tz?
BRT imekufa kwa bus moja kuvuja? Tena siku hiz wamekuwa serious kama hujui, Mabasi mengi yemetengenezwa ( fuatilia yaliyokuwa yamepark gerezani, Ubungo, yote yanafanya kazi) wanajenga hadi ofisi zao mpya posta ya Zamani, wametengeneza app ya ticketing, na sasa kuna mradi wa ITS unakaribia kuanza. All BRT buses zitakuwa tracked na kutumia mwendokasi app utajua location ya Bus
Juzi tu hapa wamepokea bus la gesi la majaribio na soon wanaongeza 100 BRT buses za gas
View attachment 3310733
Lakin Nyinyi mbona national Airport inavuja?
Hajui kuwa Tazara line forms part of Dar Metro sisi sio city ya line moja kama huko korogocho 😁Hizo video umeziangalia.? 🤣🤣🤣 within Tazara station kuna commuter train. Bertin kapanda fungua video hiyo.
Tukiwambiaaga wanakuja kujifunza Kila kitu Tanzania wanaona tunawaonea.We taahira BRT mliwahi kuwa nayo lini? Halafu Tanzania haijawahi kuiwaza Kunyaland hata siku 1, huwa mnajiconsole tu lakini hamjawahi kuwa kwenye akili za viongozi wa Tanzania
Kamdomoo 😁Punguza kujieleza sanaa...hizo ni tabia za masikini kujieleza mno maneno mengii..
Where is your BRT ambayo ndio tume copy kwenu?
We don't believe the word of mouth leta evidence. Hata sisi huku Twiga mineral inaingiza $8bn pa.Whoa ukipenda but the truth remains that Safaricom revenue is $5B.
Decommissioned trains for commuter services ndio anashangilia ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni 😁Kenya to buy 25-years old second-hand diesel trains as Ethiopia,Tanzania embrace electric trains Read more: Kenya to buy 25-years old diesel trains as Ethiopia embraces electric trains
Hizi ndo unapigia kelele ambazo cost ya behewa Moja haifikii hata gharama ya kununua irzar ya katarama,
Halafu hata njia zenyewe mnatumia za mgr tu hakuna kipya mlichoongeza.
Tukisema tunununue hizo dmu tunauwezo wa kuagiza dmu sio chini 110 kama hela yenyewe mliyonunulia ndo hiyo.
Ebu angalia order Moja ya mabasi ya brt
Tanzania has ordered new BRT buses, including a phase 2 expansion, with the infrastructure costing $159.32 million. The second phase of the BRT system, spanning 20.3 kilometers, was built by China's Sinohydro Construction Limited (SCL). The buses themselves are expected to arrive shortly, with Tanzania waiting for 250 buses from China to start operating the second phase.
Hawez maana hata hiyo safaricom total assets zake hazifikii hata mtaji mzima lakeoilWe don't believe the word of mouth leta evidence. Hata sisi huku Twiga mineral inaingiza $8bn pa.
Wewe ni taahira, BRT ya Dar inaanza planing mimi nipo bado kinda imeanza ujenzi 2012 plans zilikua toka 2004 huko, hiyo yenu tuliiona lini?Nairobi BRT was proposed and wheels started rolling before yenu . Sooner you jumped the bandwagon na mkasema mnajenga yenu pia. I WILL GIVE YOU CREDIT.. you accomplished your goal despite the chaotic situation with your BRT..Ours got stuck in politics ya Matatu cartels. Nairobi then switched to Trains . Sooner you also announced Dar trains zinakuja .. you get the picture?..😄😄
Tena Zina miaka 25 toka zitengenezwe mpaka wanakuja kununua pia zinatumia trucks za mgr.Decommissioned trains for commuter services ndio anashangilia ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni 😁
Tukiwambiaaga wanakuja kujifunza Kila kitu Tanzania wanaona tunawaonea.
Ona sasa wanaumbuka
View: https://vm.tiktok.com/ZMBt57tXC/
Wanawaambia hata efd na control number hawana.Nimepitia comment huko. Watanzania wanawanyosha 🤣 🤣 🤣 🤣
Wenzako bado wanahangaika na ruto must go na hela za kufikisha sgr malabaBaada ya Harusi Nigeria, jana tulikuwa na Mtoko wa Pasaka sasa kubwa kuliko yote inakuja ni Samia Serengeti Music Festival
Guys naanza kuwaletea hii mpka itakapofika tarehe 26 Apr 2025,
Msichoke hii ndiyo Pride yetu kuwakondesha majirani
Kwa style mwaka huu kutakuwa na wageni wengi sana.Baada ya Harusi Nigeria, jana tulikuwa na Mtoko wa Pasaka sasa kubwa kuliko yote inakuja ni Samia Serengeti Music Festival
Guys naanza kuwaletea hii mpka itakapofika tarehe 26 Apr 2025,
Msichoke hii ndiyo Pride yetu, kuwakondesha majirani