Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,111
- 33,304
Huyo mzee huwa fala sana😂😂🤣😂Ebu tuambie 5Y ni registration ya nchi gani? Kama sio Kenya nafunga hii account.
Here is a screenshot from your video.
View attachment 3309657
Huyo mzee huwa fala sana😂😂🤣😂Ebu tuambie 5Y ni registration ya nchi gani? Kama sio Kenya nafunga hii account.
Here is a screenshot from your video.
View attachment 3309657
Thanks for confirming Diamond anatumia chartered flight from a Kenyan company. 😄leased by Skyward Express from Martinair Holland do u know how many of such Fokkers 70 r under Martinair Holland?
OYou own us in which way? Pesa yenye hao warabu wamewekeza Kenya can’t even built Talanta Stadium😂😂🤣😂.
Actually they can’t even buy Naivas Supermarket😂🤣
Hiyo ndege ilikodiwa kutoka Kenya.Hivi unajua ndege ikiwa leased kama ikija Ukunyani inapaswa kubadili namba kuwa ya nchi husika? Na pia kuna aina ngapi za lease? Hiyo ndege si ya Skyward express ndio maana hata livery yake ni Martinair Holland!
Hawa wachawi wanajaribu kujiweka level yenye hawawezani nayo. To make the matters worse, ni warabu ndio wanatupigia nao kelele. Hakuna real mtanzania hata mmoja mwenye Ana uwezo wa kuwekeza Kenya.Bro. I haven't commented on this forum in like 5 years.. you made my day.
We have been comparing ourselves with simpletons. Damn
O
Uki lease kitu it belongs to you hadi leasehold iishe. I thought that's common knowledge. Upende usipende Skyward wametengeneza pesa from msanii wenu. 😄Hivi unajua ndege ikiwa leased kama ikija Ukunyani inapaswa kubadili namba kuwa ya nchi husika? Na pia kuna aina ngapi za lease? Hiyo ndege si ya Skyward express ndio maana hata livery yake ni Martinair Holland!
Kwahiyo livery ilibadilika over the night? Ikawa martinair?Uki lease kitu it belongs to you hadi leasehold iishe. I thought that's common knowledge. Upende usipende Skyward wametengeneza pesa from msanii wenu. 😄
Tell him. Inaonekana anaumia sana. 🤣Hiyo ndege ilikodiwa kutoka Kenya.
Still the status does not change leased from the owner Martinair!Uki lease kitu it belongs to you hadi leasehold iishe. I thought that's common knowledge. Upende usipende Skyward wametengeneza pesa from msanii wenu. 😄
Wewe mzee huko Nyuma Huoni registration number 5Y?Kwahiyo livery ilibadilika over the night? Ikawa martinair?
![]()
Mbona Diamond hakuenda huko Martinair kukodi ndege? Mbona yeye alikuja tu Kenya?Still the status does not change leased from the owner Martinair!
Pesa ililipwa Kwa Skyward, kubali yaishe.Kwahiyo livery ilibadilika over the night? Ikawa martinair?
![]()
Huyu mzee atakuja kufa kwa pressure siku moja.Tell him. Inaonekana anaumia sana. 🤣
Pengine hata hajui hio MartinAir ni ndege ya wapi, yeye alifanya biz na Skyward.Mbona Diamond ha kuenda huko Martinair kukodi ndege? Mbona yeye alikuja tu Kenya?
If I lease something from you, it belongs to me hadi lease iishe. Kama hukua unajua, jua leo. Ama wewe ukilipa rent kwako, landlord hukuja kuishi na wewe ju nyumba ni yake? 🤣🤣 Usiwe mjinga bana.Still the status does not change leased from the owner Martinair!
nimekuonyesha ikiwa na livery ya Skyward express na sasa ikiwa na livery ya Martinair ikiwa South Africa uploaded February 3rd 2025!If I lease something from you, it belongs to me hadi lease iishe. Kama hukua unajua, jua leo. Ama wewe ukilipa rent kwako, landlord hukuja kuishi na wewe ju nyumba ni yake? 🤣🤣 Usiwe mjinga bana.
Thank you very much. Si kila mtu anaona in 2025 it belongs to Skyward. Ni hayo tu kwa sasa.nimekuonyesha ikiwa na livery ya Skyward express na sasa ikiwa na livery ya Martinair ikiwa South Africa uploaded February 3rd 2025!
View attachment 3309675
Unknown owner!
View attachment 3309678
😂😂🤣🤣Thank you very much. Si kila mtu anaona in 2025 it belongs to Skyward. Ni hayo tu kwa sasa.