Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu jibu swali kama ni Skyward owned mbona imebadilishwa rangi kutoka Skyward Express na kuwa Martinair? Kwani Skyward Express ni private charter airline? Na kama yes mbona Martinair livery?
Rest, you are saying stupid things. Wacha kujiaibisha. Punguza wivu ndege iko Kenya sasa na hakuna kitu utafanya.

 
April 2025 the livery is back to Martinair!
Nimekuambia utulie, you are saying stupid things. Soma vizuri, the previous owner. Sasa kojoa ulale. Alafu mambo ya ndege wachana nayo kama hata livery ya MartinAir hujui.
 
Hio kaulize Diamond si ame charter hio ndege juzi tu from Nairobi. 😄 Ama una akili ya kuku ushasahau hii argument ilitoka wapi.
i suspect Skyward express wamerudisha ndege ya wenyewe ndio maana ina rangi za Martinair!
 
Mchina atarudisha pesa zake kweli kwenye hiyo flyover maana majority ya wakenya hawawezi afford tolls as you can see papo empty
That picture must have been taken on a weekend, most probably on a Sunday when most Nairobi roads are empty. You can tell even from the lower road
 
i suspect Skyward express wamerudisha ndege ya wenyewe ndio maana ina rangi za Martinair!
Wivu itakumaliza - kubali tu, business ya private jets hakuna dar. Its only reserved for mega cities which have a high millionaire density
 
Kaka ukiweka link tu kuna tatizo? Summary inatosha na link ya Proof.

Kuweka whole article ni kero asee.

Maoni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…