Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ndizo arguments zenye akili si jamaa concordile 101 ati anadai catamaran speed boat moja thamani yake ni zaidi ya assets za kampuni ya Naivas!
Walau ungeweza kuleta balance sheet ya naivas tukacompare na thamani ya cataramani Moja badala kushambulia pasipokuwa na evidence . Hapo sijaona ukiweka bei ya Kilimanjaro viii zaid ya maelezo yasiyo na facts.
Balance sheet itaonesha thani ya mali alizonazo naivas sio mauzo
 
Kaka check na mtu unayejadiliana naye. Mtuzungushana siku nzima hawezi akaleta kitu cha maana.

Check mikono yake tu hapa 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

View attachment 3309394
downloadfile-381.jpg
Screenshot_20250323_185418_Gallery.jpg

😀😀
 
Hawa bongolala hawawezi tuambia kitu. Hio revenue ya Naivas just proves how big the Kenyan middle class is. Yet bongolalas think kila mtu Kenya anaishi Kibera or Mathare.
Very idiot people. Ubaya yao huwa hawapendi kukubaliana na ukweli.
 
Back
Top Bottom