Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio kwanza naiona kwako mzee wa govi. 🤣🤣🤣 these are the common TV brands in Tz 👇🏾

Hisense
Samsung
Haier
TCL
LG
Sony

Kwasasa zinakuja sana ni hizi

Star X
Arborder
Alitop
Ailyons
Solamax
Kodtec (Hizi Ndio common brands in the whole of Tanzania).

Tuliza govi hilo. 🤣🤣
Wewe huna TV nyamaza.
 
Hapo kwenye hiyo nimeshamiliki brands tatu tofauti sahii nipo Hisense bwana govi, labda kama wewe ndio huna TV. 🤣🤣🤣.
Last year si ulituonyesha TV ya 24”? Hile ilikuwa Yule mumama wako ama ya jirani?
 
This is one of the biggest bike companies in Kenya today
1744923965211.jpeg
 
Umepanic. Kwa Tanzania issue ya TV ni kitu cha kawaida. Kwenu huko kenya mnaona anasa 🤣 🤣 🤣 🤣
Ndio maana Tanzania Brands ni nyingi sana za TV kuliko Kenya.
Tanzania tv ni kwa ajili ya watoto , mpira tunaangalizia bar tukiwa tunabdalishana na mawazo baada ya KAZI hawa chokolii hata hiyo hela kuspend Kila siku wataitolea wapi lazima wakariri all types of tvs
 
Back
Top Bottom