concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Final nail of Azam TV is being prepared currently pale HQ ya Royal Media Services. I said it that Azam has no future in Kenya😂😂🤣
View: https://x.com/husseinmoha/status/1913110114019442917
Azam annual revenue is $800M same as Naivas, Kama hufurahishwi Nenda ukajinyonge.umecpy na kupaste kilichopo kwenye website azam hawajatoa estimtio a mauzo yao toka mwaka 2016 sasa wewe unatuletea taarifa ambyo umeoneshw kabisa imetolewa miaka 2016
Mambo ya Azam in Kenya imeisha. Kwanza ni hasara tupu walikuwa wanapata, no wonder their yearly revenue ilikuwa sawa na ya Naivas.hayo maneno tumeyazoea toka kw kundustan na bado hamkuwahi kufanikiwa
Lia ukipenda but ukweli utabaki kwamba Azam ni level ya Naivas Supermarket.azam wa babako labda😉😉😉😉😉
haha uzuri research hazidanganyi kuwa wakenya ma ugonjwa wa akiliAzam annual revenue is $800M same as Naivas, Kama hufurahishwi Nenda ukajinyonge.
kaka acha ku-exaggerate thamani ya hii catamaran speed boat mbona ipo wazi yaani unadai $200 mln? imekuwa dreamliner? Kwahiyo Kilimanjaro VII thamani yake ni zaidi na Mv Mwanza hapa kazi Tu?Hakuna kampuni ya kikenya ambayo ina mauzo zaid ya bakhresa walicholeta hapo ni estimation za mauzo yake kwa mwaka 2016, hakukua na hotel verde, united petroleum , kiwanda cha sukari kipindi hicho hiyo naivas totalrevenue ilikuwa 0.6mil usd .
total assets za naivas hazifikii hata 200mil usd
hazifikii hata dhamani ya hili dude moja na haya yako 13
View attachment 3309212
post total assets za naivas au safaricom then wecompare with only azam kabla hatujaenda kwa wengine
ila total asset za naivas ni sawa na boat moja ya azamMambo ya Azam in Kenya imeisha. Kwanza ni hasara tupu walikuwa wanapata, no wonder their yearly revenue ilikuwa sawa na ya Naivas.
wacha kuropoka!ila total asset za naivas ni sawa na boat moja ya azam
na bado mtakuja mpigia magoti ili awafadhiliMambo ya Azam in Kenya imeisha. Kwanza ni hasara tupu walikuwa wanapata, no wonder their yearly revenue ilikuwa sawa na ya Naivas.
leta total assets za naivas kenya tuweke dhamani ya hizo za azam ikiwa mtaji wa naivas utaizid hizo boat ntakubali kuwa uko sawawacha kuropoka!
sawa Azam ni kubwa kulinganisha na Naivas ambayo ina shareholders makampuni ya kigeni ila kusema ati thamani ya Naivas ni sawa na catamaran speed boat ni ujinga! sasa tofauti yako wewe na Teargass ni nn?leta total assets za naivas kenya tuweke dhamani ya hizo za azam ikiwa mtaji wa naivas utaizid hizo boat ntakubali kuwa uko sawa
sijakataa ndo namaana nimesema post the curent balance sheet ya naivas tulinganishe na dhamani ya boat za azam, hizo boat sio za usd 2mil .sawa Azam ni kubwa kulinganisha na Naivas ambayo ina shareholders makampuni ya kigeni ila kusema ati thamani ya Naivas ni sawa na catamaran speed boat ni ujinga!
usidanganyike na sales unaweza ukawa na revenue kubwa kuliko ila ukawa na asset saizi ya mbilikimosawa Azam ni kubwa kulinganisha na Naivas ambayo ina shareholders makampuni ya kigeni ila kusema ati thamani ya Naivas ni sawa na catamaran speed boat ni ujinga! sasa tofauti yako wewe na Teargass ni nn?
sasa kwahiyo unadhani hiyo revenue ya $800 mln mwaka 2015 ni faida? akili yako haiko sawa!sijakataa ndo namaana nimesema post the curent balance sheet ya naivas tulinganishe na dhamani ya boat za azam, hizo boat sio za usd 2mil .
acha kubadilisha id REVENUE na asset ni vitu viwili tofauti, asset ni jumla ya mali ulizonazo tukimnisha majengo, magari, hisa na kadhalika na revenue ni mauzo yako kabla kuanza kutoa gharama nyingine, sasa unachokataa nini kwamba haiwezekaniki azam mwaka 2015 akawa na mauzo ya 800mil halafu miaka 10 mbele mauzo yake yaendelea kubaki palepale wakati akiwa kaongeza aset au mali kuzalishia. 2015 zam hakuwa na kiwanda ch sukari wala na viwanda kadha wa kadha united petroleumsasa kwahiyo unadhai hiyo revenue ya $800 mln mwaka 2015 ni faida? akili yako haiko sawa!
wewe ndo hauko sawasasa kwahiyo unadhai hiyo revenue ya $800 mln mwaka 2015 ni faida? akili yako haiko sawa!
Revenue ni thamani ya mauzo kabla ya kutoa gharama! Na si faida!acha kubadilisha id REVENUE na asset ni vitu viwili tofauti, asset ni jumla ya mali ulizonazo tukimnisha majengo, magari, hisa na kadhalika na revenue ni mauzo yako kabla kuanza kutoa gharama nyingine, sasa unachokataa nini kwamba haiwezekaniki azam mwaka 2015 akawa na mauzo ya 800mil halafu miaka 10 mbele mauzo yake yaendelea kubaki palepale wakati akiwa kaongeza aset au mali kuzalishia. 2015 zam hakuwa na kiwanda ch sukari wala na viwanda kadha wa kadha united petroleum