Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weakness gani ama ni Queen of England ndio alizawadi his son as a birthday gift. Nyinyi hamna uwezo wowote wa kuchukua kitu from Kenya.
Queen alikuwa anatawala Tanzania au Kenya, kichaa wewe. Kwanza sina muda mchafu wa ku debate na ww govinda.
 
Wewe huropokwa tu, hio hasara hata imeongezeka ju ya kampuni kuuzwa.

Sawa lkn ndiyo tushaichukua ni yetu, na kwa sasa imeanza kufanya kazi pasipo wizi, tunaijenga talanta na pesa inarudi Tanzania, huku Tanzania ukisikia kiwanda kinabinafsishwa ujue anayechukua ni mtu kutoka ulaya, America au Asia, ila Kenya beberu wao ni mtanzania, tutahakikisha tunachukua viwanda muhimu vyote na board members watakuwa from Tanzania mtake msitake.
 
Kwani Lori ya Tanzania iliyoleta mzigo ukunduni ikishashusha haiwezi kukodiwa na mkunya kubeba mzigo kupeleka sehemu nyingine ukunyani?
Siku hz wafanyabiashara wa Kenya wameamua kukodi trucks from Tanzania kwasababu wamiliki wa trucks Kenya wamesusa eti kisa sgr ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Your billionaires are busy flocking Kenya while some if yโ€™all here saying you never want to come to Kenya as if we owe you guys a penny lol
Kwa sababu huko Kuna wajinga tunakuja kuchukua fursa na kuwatawala.

We rule and feed you ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hawa jamaa nje ya supermarkets na apartments hawana confidence kabisa ni weupe kinoma๐Ÿ˜
 
Revenue ya Naivas kampuni moja pekee ni ksh 96 billion. Numbers ziko wazi. Sasa kusanya hizo kampuni zote za mwenye Azam uweke pamoja alafu utuambie kama inashinda Naivas kampuni moja pekee.
Basi nategemea kuwa mmiliki wa Naivas awe tajiri number moja East Africa au kuna tajiri hapa EA Kampita?
 
Naivas mapato yake hayafikii hata ya Bhakressa 7 years ago. Hardly USD 700M in 2024
Bwana nairobae Haya tuletee ile source inayosema naivas inapiga 93 billion revenue annually. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Azam wenyewe wanasema revenue yao ni $800M. Wewe ni nani upinge?

 
Hii Azam wanashinda wakijipoga vifua nayo kumbe ligi yake ni Naivas? Hawa huyu Devki tunayecriticize huku Kila siku angekuwa kule angekuwa national treasure.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Imagine. Yani Chukua all the companies that make up Azam group, if you combine all their revenue ndio wanafikia Naivas๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hawa jamaa nje ya supermarkets na apartments hawana confidence kabisa ni weupe kinoma๐Ÿ˜
Haya tuonyeshe any Company in Tanzania with a revenue more than Safaricom. Thatโ€™s not a supermarket nor apartment. Just show me any company in Tanzania with revenues bigger than Safaricom.
 
Basi nategemea kuwa mmiliki wa Naivas awe tajiri number moja East Africa au kuna tajiri hapa EA Kampita?
Kwani Revenue ndio profit? And who told you Naivas ni ya mtu moja? Yani watanzania wote ni wajinga.
 
na muliuza kwasababu hamuna uwezo wa pesa tena ndio maana wamenunua watu wenye pesa zao wawafundishe namna ya kutumia pesa sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna kampuni ya Kenya that overbid for the purchase of Bamburi but CBK ikawakataza, jiulize kwa nini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ