Rule who? Eti nyingine kutoka wapi?We rule and feed you
View: https://x.com/BusesNation/status/1912909941720969600
Rule who? Eti nyingine kutoka wapi?We rule and feed you
Haha kweli yaan eti rostam ainvest Kenya kuliko alivyowekeza Tanzania itakuwa unaota ebu fuatilia amson owner anamiliki Nini tena tanzaniaLol. It's never about the country of origin. It's where they are creating the jobs.
And from what I'm reading, they could be investing more in Kenya than they ever have in Tanzania.
Tanzania hatutambuani kwa rangi na makabila bali kwa uraia . Nachojua mmiliki wa amson ni mzaliwa wa tabora na sio uarabuniMbona tulalamikie warabu? What we know Tanzanians has no muscles to invest in Kenya.
Siku mkifikia level hizi za 🇹🇿 uni tag 👇👇Kenya is beautiful
![]()
![]()
Dodoma ni kijiji kwa kwa Tatu City, si unaona mumekuja bench marking ingine tena. 🤣🤣🤣
View: https://x.com/Tatu_City/status/1912769218040246706
Hao ni warabu acha kulazimisha mambo. Mtanzania ni wewe unayeomba mapicha sababu hamna uwezo.Haha kweli yaan eti rostam ainvest Kenya kuliko alivyowekeza Tanzania itakuwa unaota ebu fuatilia amson owner anamiliki Nini tena tanzania
Tanzania hatutambuani kwa rangi na makabila bali kwa uraia . Nachojua mmiliki wa amson ni mzaliwa wa tabora na sio uarabuni
Kundustan ndio baby walker kabisa mnuka mavi Kwa 🇹🇿 si unaona Rus wenu anavyotubembeleza? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DIlVFRAorWp/?igsh=MWoyMXdqbHdiNXdzMg==
😂😂Unacompare basi ya 35 million na viatu box tatu. 🤣 🤣 🤣 we ni wazimu.
Basi la 35mil linanunuliwa baada ya miaka miwili . Total order of Kenyan buses kwa mwaka mzima au ununuzi wa mabasi ya kikenya kwa mwaka haufuki hata 100 units. Ila Kila siku ukieenda namanga Kuna msururu wa trucks kwa zaidi ya km 2 mbili zinaleta mizigo Kenya vikiwemo viatu. Mtu akipiga trip 10 tu kwa miezi 6 kashazid dhaman ya basi wakati nyinyi hata deni la mkopo wa basi linakiwa halijaisha.Unacompare basi ya 35 million na viatu box tatu. 🤣 🤣 🤣 we ni wazimu.
Kwikwi toka imenununuliwa ndo kwanza amefikisha robo ya kwanza ya mwaka na ripoti ya hasara inayonesha kabla kampuni haijanununuliwaAmekuja kujitetea baada ya kutengezeza hasara ya karibu billioni moja.