Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,954
- 27,946
Which is Kenya.Rudia neno currently Kenya kwahiyo Kuna utofauti kuwa haikuwa Kenya bali ilikuwa ndani ya easta Africa protectorate
Which is Kenya.Rudia neno currently Kenya kwahiyo Kuna utofauti kuwa haikuwa Kenya bali ilikuwa ndani ya easta Africa protectorate
They are still living in their own bubble 😁Kutoka ruiru mpaka namanga Kuna 188km na Kuna miji katikati naa maduka .tiles in Tanzania ziko cheap kuliko Kenya
Mzungu akisema ni mkenya mnamshangilia 🤣🤣🤣 waarabu waliozaliwa Tanzania tangu mababu zao mnawakataa 🤣🤣🤣🤣🤣.Mmekwamilia koti ya mwarabu mtu angedhani all Tanzanians are orphans.😂😂🤣😂
Maybe in Tanzania. Hiyo lory was taking those tiles to Tanzania and even the lory driver told him so.Kwani Lori ya Tanzania iliyoleta mzigo ukunduni ikishashusha haiwezi kukodiwa na mkunya kubeba mzigo kupeleka sehemu nyingine ukunyani?
Ebu tuonyeshe penye tushawaishangilia mzungu Kama Mkenya. Just screenshot that post. Nyinyi hapa mmekwamilia warabu Kana kwamba Tanzania kuna kabila ya warabu😂😂😂🤣Mzungu akisema ni mkenya mnamshangilia 🤣🤣🤣 waarabu waliozaliwa Tanzania tangu mababu zao mnawakataa 🤣🤣🤣🤣🤣.
Products from Kenyan factories zimejaa kwa shelves zenu za maduka, magari from Kenyan assembly line ziko kwa barabara zenu. Hua zinafika huko na ndege ama? 🤣 🤣 Punguza kuropokwa, hatuna kelele sisi, just check on your shelves, tunawauzia alafu tunaweka hizo pesa kwa banks zetu huko bongoslum zinarudi home. Hatupotezi kitu.Hakuna kinachoonekana kutoka Kenya hata ukienda namanga kati ya trucks 200 za kwenda Kenya utakutana na truck 5 kutoka Kenya kuja Tanzania . Sasa mnauza Nini?
Nakuambia Kuna brt, six lanes roads, flyovers za trains na motorvehicles sasa jijibu mwenyewe hilo swali lako.Kwani Buguruni si uswazini?
Rudi ya kajifunze kwanza jina Kenya limezaliwa lini ndo uje useme hicho unachotaka tukuaminiWhich is Kenya.
Tanzania si walitoka majuzi? Kwahiyo wanakuja mara ya pili? Mh Jux aangalie huo mpunga anaotumia ni mwingi sana! Yasije yakawa ya Manara!Sasa naanza kushusha yale yaliyoendelea Jana Wedding of Africa. East Meet West
Yoruba Girl and Swahili Man both belong to the Niger-Congo Language, Wakenya wapo nyuma sana. Hii harusi iligeuka fashion show. Leo wanapumzika kesho harusi inaendelea. Baada ya hapo Wa Nigeria watakuja Tanzania
Kutakuwa na bonge a sherehe. Wakenya tunawakaribisha mje Tanzania
View attachment 3308590
Hatuzion mtaan, ila sisi tuna evidence ya vitu vinvyonekana kama mchele, mahindi maharage ,Azam products ila Mimi sijui brand yoyote ya kikenya. Alikuwepo zuku tv tu nae siku hizi kapotelea wapi sijui. Evidence inaanzia kwa trucks movement tuProducts from Kenyan factories zimejaa kwa shelves zenu za maduka, magari from Kenyan assembly line ziko kwa barabara zenu. Hua zinafika huko na ndege ama? 🤣 🤣 Punguza kuropokwa, hatuna kelele sisi, just check on your shelves, tunawauzia alafu tunaweka hizo pesa kwa banks zetu huko bongoslum zinarudi home. Hatupotezi kitu.
Tanzania ilikuwa siyo Harusi. Ndoa ndiyo imefungwa jana. Kwenye Harusi hii watu wanafanya biashara kaka.Tanzania si walitoka majuzi? Kwahiyo wanakuja mara ya pili? Mh Jux aangalie huo mpunga anaotumia ni mwingi sana!
Ebu tuonyeshe any Azam product in Kenya. Mchele ya Tanzania hakuna mwenye anazitumia.Hatuzion mtaan, ila sisi tuna evidence ya vitu vinvyonekana kama mchele, mahindi maharage ,Azam products ila Mimi sijui brand yoyote ya kikenya. Alikuwepo zuku tv tu nae siku hizi kapotelea wapi sijui. Evidence inaanzia kwa trucks movement tu
Unajitoa ufahamu 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇 👇Ebu tuonyeshe any Azam product in Kenya. Mchele ya Tanzania hakuna mwenye anazitumia.
🤣🤣naona unalia Lia. Miji yote ya pwani ya Africa mashariki waarabu wamekuwepo huko for centuries. Ni vile waarabu wa mombasa ni vilaza Ndio mana sio matajiri wakubwa. Waarabu wa Tanzania wanaakili mingi. So yes lipo kabila la kiarabu in Tz. And those brothers are Tanzanians born and raised in the motherland.Ebu tuonyeshe penye tushawaishangilia mzungu Kama Mkenya. Just screenshot that post. Nyinyi hapa mmekwamilia warabu Kana kwamba Tanzania kuna kabila ya warabu😂😂😂🤣
Hata usiende mbali, hizo Scania Trucks munatumia kwani unadhani zinakua assembled wapi? Gari zenu za polisi je?Hatuzion mtaan, ila sisi tuna evidence ya vitu vinvyonekana kama mchele, mahindi maharage ,Azam products ila Mimi sijui brand yoyote ya kikenya. Alikuwepo zuku tv tu nae siku hizi kapotelea wapi sijui. Evidence inaanzia kwa trucks movement tu
Lories zaidi ya 15 za Azam products zinaingia kunyarenda daily. 🤣🤣🤣👇🏾hapa walijaribu kuleta fix zao.