Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Meanwhile , 5 minutes ago…ready for the bank ..( you want the deposit slip to see the total?)
View attachment 3305734
Mjibu govinda mwenzio huku kaona pesa za kupiga picha kaona wivu zen kaamua akupige 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ofcz amekudaka cz ni ngumu developed country ubebe mahela eti unapeleka bank, maneno 10 ya govinda chukua moja na ulichunguze vzr, haya mjibu govinda mwenzio huku 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20250416_094618.jpg
 
He came to your inbox just to tell you that?🤣🤣
Nina uhakika wakenya wote kwenye hii forum mmemfata mwaiofhawaii just because ameji expose yupo US, humu kuna watanzania wengi wapo mbele Mgagaa na Upwa Chamoto etc lkn I'm 100% sure no one bothered to follow anyone of them inbox for connection, nafikiri umenielewa cz hata wewe ulienda inbox for connection, wakenya mna dhiki kubwa wallahi.
 
Kundudwellers mtu akiwepo abroad basi tayari tajiri!kunyan ni wajima sana
 
Bongolalas are in pain na ndio tumeanza. 🤣 🤣

View: https://x.com/godfrey__bongo/status/1912178007269081468

Duh aisee hii inaonesha ni ushamba kiasi gn mnao kwenye mambo ya kawaida, sasa hebu tuwe reasonable japo kdg, nyinyi mnajenga uwanja mmoja ambao ni talanta ambao sisi tulijenga kitambo na ni mkubwa kuliko huo (Mkapa), sisi tunajenga viwanja viwili kwa mpigo, sisi tutakuwa na viwanja vinne vitakavyotumika afcon in 4 different regions, nyinyi mtakuwa na viwili in one county (ambapo pia na doubt kama mna uwezo wa kuandaa), nani anapaswa kuogopa kati ya Tanzanians au kenyans? Acheni ushamba na vitu basic.
 
Back
Top Bottom