President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,380
Idear zimeanza kutolewa na watoto wa Dar es salaam
Hivi ndivyo uwanja wa football unafaa kuwa, mambo ya 2km away ni uchafu ambao haustahili mechi kubwa. Makwapa hata mfunge viti 100k lakini haiwezi kupata hizi aura 👇😍😍View attachment 3306514
Looks like kasarani
Who Owns Kasarani?Looks like kasarani
wacha wee Kasarani hihii yenye mifuko ya Rambo kama roof? 😃 😃Looks like kasarani
Umeshtuka 😂😂😂hii umepost ni mombasa ya wapi buda😂😂
View attachment 3306497
Did you read the part I mentioned that Cup Winners' Cup is today known as Confederations Cup? Mbona mnapenda ubishi hivi mitanganyika? Inawasaidia na nini?🤣🤣🤣🤣 hatuna kombe linaloitwa CUP winners kwasasa, na mashindano ambayo team zetu zimefika hatua za Robo fainali, Nusu fainali, pamoja na finals nyie hamjawahi kufanya maajabu yoyote nakwambia ndio wala hata kushiriki pia hamna uwezo huo. 🤣🤣🤣. Mmebaki kutaja vitu zenye hazipo
Huku sasa ni Buguruni ama?😂😂
Amka! Utakojoa kitandani 🤣🤣🤣🤣
Huyo hajaamini kabisa hapo ni Mombasa 😂😂😂Ghorofa ni nyingi mpaka huwezi amini, okay basi tuseme hapo ni dar 😃
Tangu ajifunze kutumia AI hatupumui hapa. 🤣 🤣 🤣 Ndio amejua AI can generate images juzi tu.Amka! Utakojoa kitandani 🤣🤣🤣🤣
Huyo anakuanga desperate kinoma!Tangu ajifunze kutumia AI hatupumui hapa. 🤣 🤣 🤣 Ndio amejua AI can generate images juzi tu.
Naona umeogopa. Hayo ni mawazo ya vijana wa Dar kutokana na mpango huu hapa wa serikaliAmka! Utakojoa kitandani 🤣🤣🤣🤣
Ushamba pro max ..🤣🤣Tangu ajifunze kutumia AI hatupumui hapa. 🤣 🤣 🤣 Ndio amejua AI can generate images juzi tu.
Cup winners sio confederation cup full stop 🛑. You never won CAF confederation cup. Tuliza tako. Washindi wa CAF confederation cup ni hawa hapa. 👇🏾🤣🤣🤣Did you read the part I mentioned that Cup Winners' Cup is today known as Confederations Cup? Mbona mnapenda ubishi hivi mitanganyika? Inawasaidia na nini?
Tuta...🤣🤣🤣🤣Naona umeogopa. Hayo ni mawazo ya vijana wa Dar kutokana na mpango huu hapa wa serikali
Tanzania to build a $172 million indoor arena in Dar
![]()
Tanzania to build a $172 million indoor music arena in Dar
Diamond had sparked a wider debate in the East African region, where there is a general dearth of modern concert arenas.www.thecitizen.co.tz
Ningeshangaa nisingeona comments za hivi. 😂😂😂
View: https://x.com/akukimsafi/status/1912526721900851387?s=46