Ngoja tumalize utata.
Kwanza angalia mazingira yenyewe ya hiyo michuano ya mozzartbet inapochezeka 🤣🤣
View attachment 3305986
Then, angalia hiyo page yenyewe ya Instagram ya hao sponsor, ina likes 11 na hakuna comment hata moja 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3305988
Alafu angalia hiyo prize money for the winner, ksh 2m ambayo ni less than Tzs 40m
View attachment 3305989
Utagundua hawa ni midomo tu mirefu lkn hakuna kitu, that's why tunawaita non football country, hiyo prize money ya champion wa hiyo mozzartbet cup haifikii hata robo ya prize money for the winner of crdb federation cup. Kwenye mambo ya soccer tusiwe tunawajibu tumewaacha mbali sanaa kama ranks za CAF na FIFA zinavyosema.