chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,673
- 45,902
Umeona kamshikia tu mtu hela for just a picture at least umeanza kuwa chawa wake? Kwanini unamtetea? Utaolewa bila posa shauri yako!Mkishindwa huwa mnakimbilia ushamba. Kwa ushamba wake wote mwaiofhawaii can feed your country for a week. Ebu tukumbushe kindergarten teacher earns how much in Tanzania juu tunajua wewe ni mwalimu wa chekechea.