Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata wewe unaweza inbox mtu mwenye sura ngumu na mavazi mabovu kiasi hiki.
Hakuna mmbongo tajiri marekani kutokana na nature yao ya kubeba mabox... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡
View attachment 3306209
Huyu chokoraa naye unibamba vile anakaa, jamaa amejaza potholes kwa uso ungedhani uso yake ni barabara za Yemen.
 
Duh aisee hii inaonesha ni ushamba kiasi gn mnao kwenye mambo ya kawaida, sasa hebu tuwe reasonable japo kdg, nyinyi mnajenga uwanja mmoja ambao ni talanta ambao sisi tulijenga kitambo na ni mkubwa kuliko huo (Mkapa), sisi tunajenga viwanja viwili kwa mpigo, sisi tutakuwa na viwanja vinne vitakavyotumika afcon in 4 different regions, nyinyi mtakuwa na viwili in one county (ambapo pia na doubt kama mna uwezo wa kuandaa), nani anapaswa kuogopa kati ya Tanzanians au kenyans? Acheni ushamba na vitu basic.
Makwapa ilikuwa msaada kutoka kwa mume wenu macho madogo mchina baada ya kuona mnateseka sna kuandaa national events. Ccm haina historia ya kujenga uwanja zaidi ya 30k capacity kitu ambacho tulifanya in the 80s
 
Nina uhakika wakenya wote kwenye hii forum mmemfata mwaiofhawaii just because ameji expose yupo US, humu kuna watanzania wengi wapo mbele Mgagaa na Upwa Chamoto etc lkn I'm 100% sure no one bothered to follow anyone of them inbox for connection, nafikiri umenielewa cz hata wewe ulienda inbox for connection, wakenya mna dhiki kubwa wallahi.
Sasa huyu chokoraa unaanzaje kum-inbox?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Jamaa haogi hadi mwili imeanza kugeuka green with scales all over the body.

IMG_1299.jpeg
 
Huyu chokoraa naye unibamba vile anakaa, jamaa amejaza potholes kwa uso ungedhani uso yake ni barabara za Yemen.
Yani nikimuona anavyovaa na sura yake ngumu naanza kuidharau sana Marekani, kwanini wasimsadie na nguo na viatu ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Sasa huyu chokoraa unaanzaje kum-inbox?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Jamaa haogi hadi mwili imeanza kugeuka green with scales all over the body.

View attachment 3306227
Mzee anakoti Moja, katika picha zake zote Yuko na hiki jacket. Camera kwa shingo everytime, uso umefura kama anaugua grave disease kama Vybz Kartel ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Hata wewe unaweza inbox mtu mwenye sura ngumu na mavazi mabovu kiasi hiki.
Hakuna mmbongo tajiri marekani kutokana na nature yao ya kubeba mabox... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡
View attachment 3306209
Unaona wivu tu, mwamba katoka kinyamwezi hapo yupo bien, wewe ulituma picha ukiwa Arusha unat.omb kum za 3000 tuliona matako yako yana dots kibao, huwezi jicompare na huyo mnyamwezi apo.
 
4. Swahili Fashion Week & Awards​

Hiki kitu kitawafanya wakenya wazidi kuumia sana. They will never ever reach this level

1744801143098.png

1744801531669.png
 
Makwapa ilikuwa msaada kutoka kwa mume wenu macho madogo mchina baada ya kuona mnateseka sna kuandaa national events. Ccm haina historia ya kujenga uwanja zaidi ya 30k capacity kitu ambacho tulifanya in the 80s
Have you ever heard of CCM Kirumba?
 
If Nairobi developed over water like that fishing village of yours, it would be full of marinas, luxury yachts and luxury boats, not those glorified dhows. Bure kabisa ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜…
That's why you dream of Nairobi becoming Dar es Salaam. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
If Nairobi developed over water like that fishing village of yours, it would be full of marinas, luxury yachts and luxury boats, not those glorified dhows. Bure kabisa ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜…
Mombasa si ipo?

Meanwhile, Likoni Safina Ferry ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Screenshot_20250416_141942_Google.jpg
 
Top Night Club Dar es salaam vs Nairobi ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ​

Tanzania -> ELEMENTS

1744803293107.png

Kenya -> B-CLUB ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1744803342986.png
 
Back
Top Bottom