Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Kwani Dar Kuna sehemu haina uswazi?
Tandale, Gongolamboto, Mabibo, Vingunguti, Manzese, Chang'ombe, Keko, Temete, Jangwani, Kigogo, Mburahati, Tandika, Mwananyamala, Magomeni, Buguruni, Yombo n.k haya yote si ni slums tu.
Kosa kubwa walilofanya ndugu zako kukuamini eti methadone utameza mwenyewe,inabidi wakurudishe tu mathare mental ukapate tiba tena