President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,793
Picha za 2011. Umetunza kumbukumbu vizuriShow me the difference View attachment 3305250View attachment 3305252
Picha za 2011. Umetunza kumbukumbu vizuriShow me the difference View attachment 3305250View attachment 3305252
Winning an AFCON which Tanzania has never won in her entire existence.🤣 🤣 🤣 Nimecheka mpaka watu wote wamenitazama. So here you are, taking home the AFCON trophy.
Wewe acha desperation. Mombasa sio mji wa kulinganishwa na hizo takataka zenu kwa lolotembona picha nusu nusu sasa 😂😂😂😂
Nionyeshe za 2025 same placesPicha za 2011. Umetunza kumbukumbu vizuri
When did Kundustan win AFCON? 🤣 🤣 🤣 🤣Winning an AFCON which Tanzania has never won in her entire existence.
Toa hiyo kiingereza ya kinyamwezi hapa!When did Kundustan won AFCON? tuambie tucheke 🤣 🤣 🤣
Next Month naenda kupiga picha, nikumbushe.Nionyeshe za 2025 same places
Toa hiyo kiingereza ya kinyamwezi hapa!When did Kundustan won AFCON? tuambie tucheke 🤣 🤣 🤣
Hebu tamka neno Education in Kenyan Language tucheke 🤣🤣🤣🤣 EndukashooniToa hiyo kiingereza ya kinyamwezi hapa!
We have won AFCON matches, has Tanzania ever even won a single match at AFCON?When did Kundustan win AFCON? 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwa hivyo wewe sio hata mwenyeji wa Dar na unapiga kelele hapaNext Month naenda kupiga picha, nikumbushe.
Wakitumia njia gani?We have won AFCON matches, has Tanzania ever even won a single match at AFCON?
Huyu jamaa huwa fake sana. Utapata ako huko Kigoma penye hakuna barabara za Lami😂😂Kwa hivyo wewe sio hata mwenyeji wa Dar na unapiga kelele hapa
The recent AFCON U-17 they drunk 15 goals at group level and finished bottom.Wakitumia njia gani?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Every country in Africa has won a match. Tell us, when will you win the trophy?We have won AFCON matches, has Tanzania ever even won a single match at AFCON?
Hapo tayari amefura kwa wivu. 😂😂😂Sasa unaniuliza mimi ndio nilitengeneza uwanja.? 🤣🤣🤣🤣 we kama unataka kulia Lia tu. Lakini mkapa stadium sahii full capacity ni 62k seats 💺. The largest stadium in East and central Africa.
Dar ni kubwa, zinaingia Nairobi zaidi ya tatu.Kwa hivyo wewe sio hata mwenyeji wa Dar na unapiga kelele hapa
Kundustan imewahi kufika AFCON U-17 in a group stage? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣The recent AFCON U-17 they drunk 15 goals at group level and finished bottom.