The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Bingwa Kenya anapewa ksh5m na bado anapanua mdomo kuongelea NBC, miongoni mwa ligi zenye prize money 💰 kubwa Africa 👇👇Ila huoni uwendawazimu alioandika ndugu yako! 😂😂😂
Bingwa Kenya anapewa ksh5m na bado anapanua mdomo kuongelea NBC, miongoni mwa ligi zenye prize money 💰 kubwa Africa 👇👇Ila huoni uwendawazimu alioandika ndugu yako! 😂😂😂
🤣🤣🤣. Jamaa ni jokers.Hiyo canopy ya chini ni quality bora kuliko kasarani!
Kaenda Google naye kutafuta Kenya trail chongchung njoo uone hukuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nikimwambia hamna nchi Duniani ambayo haina jina US either kwa street ama mahali atasemaje?🤣🤣🤣
View attachment 3303681
Hiyo ni pesa ya Simba kununua maji ya kunywa. 😂😂😂Bingwa Kenya anapewa ksh5m na bado anapanua mdomo kuongelea NBC, miongoni mwa ligi zenye prize money 💰 kubwa Africa 👇👇View attachment 3304056
Ila mitandao inawaumbua hawa magovinda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukipitia comments zao Ndio utaona hawa wapumbavu humu ni mafala kupitiliza. 🤣🤣🤣 wanakwambia wao kwao kila nyumba iko na Wi-Fi 🤣🤣👇🏾 View attachment 3303902
Yani wamauweka mbele uongo hawa jamaa. 🤣🤣🤣Ila mitandao inawaumbua hawa magovinda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ilivyokaa upepo na mvua ikinyesha tutegemee maajabu kitu kitaezuliwa!🤣🤣🤣. Jamaa ni jokers.
Yani Kasarani haijaisha na already inakupea pressure? Na sasa ikiisha je, utajinyonga ama?
Tofautisha nbc na crdb cup.Man of the match in Tanzania is given Ksh24,000
View attachment 3302662
Vs
Man of the Match Kenya who is given Ksh 100,000
View attachment 3302663
Kwani mtu amekuambia sijui?Tofautisha nbc na crdb cup.
Heshima ya Tanzania inatambulika worldwide
View: https://x.com/PolycarpMDM/status/1911686922776223759?t=MeSUu5pMrYuD3p45wLZGBw&s=19
That canopy look funny 😀
After billions of renovations, China iingilie kati na kuokoa uwanja wao
All Tanzanians are unexposed. I’m 100% sure hujui what Teflon(PTFE) is.That canopy look funny 😀