Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hawaoni free WiFi ni progress. Nchi Ina free WiFi kwa parks alafu nyinyi bado mnstruggle na 'bando' alafu mnaona mmewashinda kisa Dayamondi Ako na subscribers millioni tisa YouTube.🤣
Tuanze kwa evidences.
Twende kazi mdogo wangu

1. Vodacom

1744628153876.png
 
Kwa hivo tutumie hizi takwimu zako za 'si Mimi ndio nakushow' AKA, 'trust me bro' tuachane na takwimu za AI sivyo?

Hapo kwenu Hadi saahii watu mnaoishi mjini mnaongelea 'bando' alafu mbishane na sisi kwenye swali la internet wakati huku Kila nyumba ina WiFi? In fact we shamed you guys on this thread so much for it Hadi siku hizi mmeacha tabia ya kupost video alafu mnasema 'hawatawatch, hawana bando'

Tanzanians who have experienced both sides know the truth. Msikize dadako.

View: https://vm.tiktok.com/ZMBbmyNGy/

ā€œMnaongelea bandoā€

View: https://x.com/honeyfarsafi/status/1910338254907334670?s=46
 
Yani hawaoni free WiFi ni progress. Nchi Ina free WiFi kwa parks alafu nyinyi bado mnstruggle na 'bando' alafu mnaona mmewashinda kisa Dayamondi Ako na subscribers millioni tisa YouTube.🤣
Gofiber Tanzania LTD Ondoa ushamba 🤣 🤣 🤣 🤣 šŸ‘‡ šŸ‘‡ šŸ‘‡ šŸ‘‡
1744629156560.png
 
Yani hawaoni free WiFi ni progress. Nchi Ina free WiFi kwa parks alafu nyinyi bado mnstruggle na 'bando' alafu mnaona mmewashinda kisa Dayamondi Ako na subscribers millioni tisa YouTube.🤣
Tanzania is a free country in Business hakuna Monopoly. Check bango linajieleza šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡

1744629712192.png
 
Yani hawaoni free WiFi ni progress. Nchi Ina free WiFi kwa parks alafu nyinyi bado mnstruggle na 'bando' alafu mnaona mmewashinda kisa Dayamondi Ako na subscribers millioni tisa YouTube.🤣
Savana Fibre Only Tanzania has Free Market not Kenya šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£

1744629863391.png
 
Ukipitia comments zao Ndio utaona hawa wapumbavu humu ni mafala kupitiliza. 🤣🤣🤣 wanakwambia wao kwao kila nyumba iko na Wi-Fi šŸ¤£šŸ¤£šŸ‘‡šŸ¾ View attachment 3303902
Hawa wa humu ni kondoo. šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Mimi nina Router zile kubwa za 5G airtel (unlimited internet) kwa ajili ya nyumbani na kile kidogo cha kutembea nacho na nilishafanya application ya Ttcl Fibre.
 
Hawa wa humu ni kondoo. šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Mimi nina Router zile kubwa za 5G airtel kwa ajili ya nyumbani na kile kidogo cha kutembea nacho na nilishafanya application ya Ttcl Fibre.
Kaka kila kona Dar Fiber ipo. Siyo TTCL pekee yao. Upo wapi nikuunganishe upate fiber home chap?

Mimi nilishavuta wasiliana nao hawa:-

1744631577349.png
 
Back
Top Bottom