President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Halafu hii Cluster niliyoizungushia nimeipenda 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇
Halafu hii Cluster niliyoizungushia nimeipenda 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇
Replicate the same from Dar is a slum with a video or photo tukucheke.Nini cha ajabu kwenye hii barabara basic.? It’s only four basic lanes. Sisi tushatoka huku manzee. 🤣🤣
Heshima ya Tanzania inatambulika worldwide
View: https://x.com/PolycarpMDM/status/1911686922776223759?t=MeSUu5pMrYuD3p45wLZGBw&s=19
Sisi hatu-replicate structures zina cracks! Mara drainage inabomoka!Replicate the same from Dar is a slum with a video or photo tukucheke.
Bado unaita expansion joints cracks. Ushamba ni mbaya. 🤣 🤣 🤣 Lakini for a city with very few flyovers, tunakuelewa.Sisi hatu-replicate structures zina cracks!
Ako amazed kuona jina ya Tanzania in the US. 🤣 🤣 🤣Ona mnavyoshibokea uzunguni alafu mnasema eti sisi ndio tunaowaanudu wazungu
Ako amazed kuona jina ya Tanzania in the US. 🤣 🤣 🤣
Me husema hapa tunadeal na mafala. 🤣 🤣 Primary school dropouts.Hivi nikimwambia hamna nchi Duniani Ina jina US either kwa street ama mahali atasemaje?🤣🤣🤣
View attachment 3303681
Kenyans ni watu wa kushout sana.Mimi nawashaangaaga sana wakenya wanavyosemaga eti wao ndio wapush wasaniii wetu views YouTube na na kwenye mitandao ya kijamii ilihali kiuhalisia mambo kama haya ndio yanadhihirisha 👆🏾👆🏾 ukweli sasa hapo watakumbia eti followers wengi wa tff ni wakenya
Wazungu ndio wanashoboka ni kipi huelewi hapo?Ona mnavyoshibokea uzunguni alafu mnasema eti sisi ndio tunaowaanudu wazungu
Kwa hivo tutumie hizi takwimu zako za 'si Mimi ndio nakushow' AKA, 'trust me bro' tuachane na takwimu za AI sivyo?Kenyans ni watu wa kushout sana.
Kwa upande wa Internet users kwa Africa, Tanzania imeizidi sana Kenya. Huu ndo ukweli.
Lakin wao wanapenda takwimu zao za kutengeneza na kurank
Kwa hivo tutumie hizi takwimu zako za 'si Mimi ndio nakushow' AKA, 'trust me bro' tuachane na takwimu za AI sivyo?
Hapo kwenu Hadi saahii watu mnaoishi mjini mnaongelea 'bando' alafu mbishane na sisi kwenye swali la internet wakati huku Kila nyumba ina WiFi? In fact we shamed you guys on this thread so much for it Hadi siku hizi mmeacha tabia ya kupost video alafu mnasema 'hawatawatch, hawana bando'
Tanzanians who have experienced both sides know the truth. Msikize dadako.
View: https://vm.tiktok.com/ZMBbmyNGy/
Govi Master 🤣 🤣 🤣 🤣Umesema Tanzanian ananunua data ya 20 bob to use on a 2G hili ashindane na majority of Kenyans using WiFi with 15-20MBPS speed?😂😂
Nakumbuka kitambo in 2018 walikazana ati lazima wakenya waende uhuru park ndio watumie WiFi. By that time Wifi was a new word to them. Siku hizi wengine wamekubali kujifungulia hotspot hili waonekane wanatumia Wifi😂😂
Sasa Tanzania itashindaje Kenya in terms of internet users while only 20% of Tanzanians own smartphones?Kenyans ni watu wa kushout sana.
Kwa upande wa Internet users kwa Africa, Tanzania imeizidi sana Kenya. Huu ndo ukweli.
Lakin wao wanapenda takwimu zao za kutengeneza na kurank
Yani hawaoni free WiFi ni progress. Nchi Ina free WiFi kwa parks alafu nyinyi bado mnstruggle na 'bando' alafu mnaona mmewashinda kisa Dayamondi Ako na subscribers millioni tisa YouTube.🤣Umesema Tanzanian ananunua data ya 20 bob to use on a 2G hili ashindane na majority of Kenyans using WiFi with 15-20MBPS speed?😂😂
Nakumbuka kitambo in 2018 walikazana ati lazima wakenya waende uhuru park ndio watumie WiFi. By that time Wifi was a new word to them. Siku hizi wengine wamekubali kujifungulia hotspot hili waonekane wanatumia Wifi😂😂