Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imagine mtu kaandika , ni Ndege inayomilikiwa na vijana wadogo Kenya, Maana yake Vijana wa huko wana fly 😂 , Maneno ya Mwenyekiti ichoboy01 Myazingatie kwanza. MK hapa Kaongea maneno makubwa kuliko hata wale wakulungwa wa mtaa flani kule marekani ambao wote nje wamepark hivi vidude. Mkundustan ukiangalia tu mwandika imekula kwako 😂
Hawa ukiwapa sikio kidogo wanakujaza uchafu. 🤣🤣🤣 halafu hawakosoanagi hawa jamaa zetu. Wao wana like tu, mixer kusapotiana upumbavu.
 
When will lazy country achieve something like this?

Kenya Women is World Champion.

1744485274718.jpeg
 
Imagine mtu kaandika , ni Ndege inayomilikiwa na vijana wadogo Kenya, Maana yake Vijana wa huko wana fly 😂 , Maneno ya Mwenyekiti ichoboy01 Myazingatie kwanza. MK hapa Kaongea maneno makubwa kuliko hata wale wakulungwa wa mtaa flani kule marekani ambao wote nje wamepark hivi vidude. Mkundustan ukiangalia tu mwandika imekula kwako 😂
Huyu jamaa angekuwa na ndege asingechangisha wakenya Ksh 1 mln awe bailed out!
 
Hivi kuna mkenya yeyote international stand up comedian who’s better than this Tanzanian.? 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DFVokmXqMdi/?igsh=bW54bXhtbHV0ejdi. Watu wanajaza venues majuu huko. Halafu yule fala Erick omondi anadai ye ni king of comedy Africa. 🤣🤣🤣🤣. A random Tanzanian comedian is doing much better internationally than any Kundurendan around their fuggin village.
 
Check out hiyo schedule ya Khalid ilivyo busy meen. He’s representing East Africa to the world. No Kenyan comedian can relate (those are local entertainers 🤣🤣). Heb angalia huu mkeka. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/p/DHlJwSFqx3D/?igsh=aDdjcXo3Yms0Zjk0. We set the bars they follow. Entertainment wise no country can beat us in this region.
 
Back
Top Bottom