Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,979
- 27,984
Hivi huu ugomvi wa dar na nairobi utaisha lini?! Aisee tangu 2017 na nauzi unatembea balaa views 35k milioni!!Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Yani hio timu ya kijaluo ndio biggest?!Wewe watchman Gor is the biggest club. You can go ask Yanga and Simba to tell you how Gor raped them.
Do i need to say more?Yani hio timu ya kijaluo ndio biggest?!
Maana hiyo inasemekana dressing room ni omera nang'o kwa kwenda mbele yani full kijaluo🤣🤣
SO does that change anything?
Nyie hata chakula ni shida sasa deodorant ni anasa. Wazungu hawawezi kucheza na nyie wanuka makwapa.When will lazy country achieve something like this?
Kenya Women is World Champion.
View attachment 3302115
Nyinyi ngojeni uchawi mshinde.Nyie hata chakula ni shida sasa deodorant ni anasa. Wazungu hawawezi kucheza na nyie wanuka makwapa.
Simba inakua club ya pili East Africa kumiliki Mercedes Benz iriza i6. Baada ya hii ya Azam 👇🏾View attachment 3302215View attachment 3302216ya simba inaoneshwa tarehe 16 kesho kutwa. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/p/DIXDz_XNxZ8/?igsh=anE2dmhsaHM0Yndn. Kenyan football club can’t relate. 🤣🤣
Wachawi NairobiWalker Teargass IamLee Nicxie nairobae mwathadan hawajaanza majungu?Haya sio matawi yao. Haya ni matawi ya juu sana kwa Wakenya wanaopigania ugali.
View attachment 3303361
How about EU countries like France (Marie Le Pen) and Romania (Calin Georgescu)?Welcome to North Korea ..😃
View attachment 3303505